Kyalow
JF-Expert Member
- Mar 6, 2011
- 3,563
- 2,611
duh! kweli kuna safari ndefu sana ya kumkomboa mwanamke wa ki-TZ kutoka kwenye unyanyasaji wa kijinsia na mfumo dume. sasa huyo anayeomba mwenyewe agombezwe, siku ukimkung'uta atakubali kweli kwenda kukulaza polisi?
kula like hapo mkuu natumia nokia tochi