‘’Mpemba’’ amponza DCI, Diwani Athumani

Wkend vinywaji vya mwendokasi vinakuharibu akili ulichoandika hakieleweki labda kesho utatufafanulia
 
Hili halihusiani na hayo. Kwanza amembiwa atapangiwa kazi nyengine hivyo hayahusu mambo ya hasnoo ambaye kesi yake ipo miaka mingi sasa.
Hapa kaondolewa sababu anajua alomuweka na kumuondoa mengine ni speculation
 
MsemajiUkweli Mwambie mkuu wa mkoa kuwa GSM ni wale walikuwa na biashara ya HSC ambao wewe umesema walinusa hatari wakabadili ngozi.

Mkuu wa Mkoa aliwaongoza GSM kwenda kujaenga jengo la dini akijua pesa zinazotumika si safi
Mkuu wa mkoa kamuongoza makamu wa Rais kushiriki shughuli iliyoandaliwa na Homeshopping a.k.a GSM

Ni wakati sasa mkuu wa mkoa atoke na kuwaeleza waumini wanaojengewa lile jengo uhalali wa msaada alioongoza, ni wakati amtake radhi makamu wa Rais kwa kumshirikisha na watu wasio na ithbati ya uadilifu

Ni wakati Ole Sendeka aagize kama alivyosema kwa Zitto, kwamba account na mali za mkuu wa mkoa zikaguliwe

Mkuu wa mkoa kuna harufu isiyo nzuri, msemajiukweli katusaidia. Mkuu wa mkoa anashiriki na watu wenye mashaka, tuna kila sababu ya kumtilia mashaka na kutilia mashaka uteuzi wake !
 
kichwa cha habari mbona hakiendi moja kwa moja na maada husika mtoa uzi tunaomba uzi uchanganue huyo mpemba kamponza vp DCI
Mbona unamtisha mleta mada?
Kwa jinsi ulivo uliza,usitegemee akupe jibu kamili kamili.
 
Mimi bado nipo na hoja ya MsemajiUkweli kuhusu Home shopping ambayo ni GSM

GSM inafanya kazi bega kwa bega na mkuu wa mkoa katika miradi kadhaa

Kuna ujenzi wa jengo la dini ambalo mkuu wa mkoa kwa kushirikiana na kampuni ya GSM ambayo msemajiukweli amesema in 'uchafu' kwa jina la zamani, wanauendeleza.

Ikumbukwe hili ni Jengo la waumini na linatakiwa lisiwe na shaka juu yake.
Leo Mkuu wa Mkoa kaongoza kampeni kwa kutumia GSM.

Pili, kuna ujenzi wa wodi za hospitali ambapo GSM wanashirikiana na mkuu wa mkoa . Makamu wa Rais naye akajikuta anashirikiana na GSM na hatimaye serikali nzima

Kuna kila sababu za kuhoji mahusiano ya mkuu wa mkoa na GSM ! hawa GSM wana interst gani na serikali?
Tunajua awamu iliyopita HSC waliiweka'mikononi' kwa kila hali, je, hili ndilo linataka kutokea tena?

Mkuu wa Mkoa ana la kueleza umma na safari hii hatudhani anapaswa kuachwa kama lile aliloagiza wananchi watwangwe na Polisi yeye atajibu

Hili linaenda mbali na kugusu uadilifu wa serikali hii! Mkuu wa mkoa ameweka uadilifu wa serikali katika kupambana na maovu katika mashaka makubwa!

Tunapaswa tuelezwe uhusiano wa Serikali ya Magufuli na GSM kupitia mkuu wa mkoa
 

Sasa HSC itakuwaje GSM?

Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
 
Sasa HSC itakuwaje GSM?

Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
Siyo maneno yangu, msemajiukweli kasema Homeshopping ndio wamebadili jina na sasa wanaitwa GSM.

Hao GSM ndio wanaoshughulika na ujenzi wa nyumba za waumini, lakini ni wale wale homeshopping

Ni hivi bibie, muuza viungo vya binadamu akipata pesa akaanzisha kampuni ya mabasi, halafu akaja kukujenga kanisa au msikiti, ile pesa bado ni haramu.
 
Acha waisome namba!! walizoea mno kufisadi uchumi wa inji hii!!
 
unachokiandika huku nikwaajili ya watu na watu wenyewe ndosisi!! Andika vizuri heading ibebe kilichomo ndani sio unaandika kama magazeti ya makorokocho...kubali kukosolewa jamaa
 
Mbongo ukishaweka kitu kwenye maandishi baasi umewaua. Juzi kuna chief accountant nimemtumia instructions zimeandikwa kila kitu in a simple way. Kasoma lkn bado kapiga simu anaulizia yaleyale yaliyoandikwa.
Huwajui wabongo...akikuuliza usidhani hajakuelewa hapo ndiyo anakupoteza...anajua yote
 
Huyu jamaa si ameshakamatwa tayari? Mbona mnakanyagana...nendeni hapo Keko mtamtambua
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…