‘’Mpemba’’ amponza DCI, Diwani Athumani

Siku hizi kuna mashindano ya kupost thread humu.Maana watu wanakurupuka sana
Jambo la muhimu ni kukaa kimya maana kuna kukurupuka kwingine kunatusaidia. MsemajiUkweli ameleta mada hii na kutufafanulia Homeshopping ndio waliojigeuza na kuwa GSM ambao sasa wanafanya kazi bega kwa bega na mkuu wa mkoa!
Tena kasema 'walijifilisi' baada ya kunusa hatari na kuja na ngozi nyingine

Hapa kuna neno!

Mag3 JokaKuu BAK Mchambuzi Waungwana kile kitendawili cha GSM ni nani MsemajiUkweli kakitegua. Katufungulia milango. Kumbe mkuu wa mkoa! lahaula!
 
Namsubi
Namsubiri huyu Msemajiuongo akujibu hapa. Naomba asikimbie tafadhali! This is tje problem of not seing things in perspective!
 
Kamwaga Mtama,Mbele ya Kuku Wengi...
 

unazungumzia usafi

kuwa hata gsm wafanyeje bado wana doa na wanajulikana wametokea wapi

kisheria wana nguvu na wamefufuka upya na ngumu kuwaweka nguvuni, kisheria kwa maana ya sheria

kiusafi, legitimacy....ileeee ambayo polepole alisema lowassa hana, ndio tunaona mfano huu wa uhusiano wa makonda, gsm na jengo la dini

kwa kifupi hakuna usafi wa serikali kushirikiana na hao watu
 
Tatizo una panic jibu hoja siyo ngonjera nyingi,
Wa tz kwa nn hambadiriki? mpemba kamponza vipi DCI ndio hoja tuambie?
 

inajulikana hiyo

swala tutaongea na yataisha na hakuna wa kufanya lolote, kuongea tu
 
Siasa mara nyingi hazina sheria lakini sheria hazina siasa.

Ndio yaleyale ya Clinton kupiga kelele za kisiasa akisema Trump hajalipa kodi wakati kisheria hawezi kulipa kodi kutokana na hasara ya $916 million aliyopata mwaka 1995. Hizi ni kelele tu za kisiasa ambazo hazina nguvu kisheria.

Kuifahamu kama GSM Foundation ni kampuni iliyoanzishwa na wamiliki wa Home Shopping Centre haina maana yoyote kisheria kwa sababu kampuni ni independent entity.

Unaweza kupiga kelele kisiasa lakini huwezi kufanya lolote kisheria.

Kutokuwa na masihara haina maana kuwa uko juu ya sheria.
 
Tafadhari weka picha za mpemba
 
precise! precise!

Na ndio msingi wa hoja, sina tatizo na homeshopping ambao ni GSM kama kampuni.
Na wala sina tatizo na GSM kufanya shughuli za kijamii.

Tatizo ni ufungamano uliopo kati ya mkuu wa mkoa na GSM tena akiwaongoza katika shughuli za kiserikali wakati 'hakuna usafi wa serikali kushirikiana nao''
 
Hapana ndugu sio ukweli kama una haki ya kujianfikia utakacho. Heading yako na content hazilingani kabisa. Hii post yako inaweza kuingia kwenye lile kundi la posting potoshi na zikawa zinavunja sheria nyingi tuu.
 


hakuna haja ya kutoa povu, kichwa cha habari na habari yenyewe vina uhusiano ila habari imejikita kwenye mada tofauti na tangazo la kichwa cha habari.
 
Naomba umsome Waberoya nadhani utamwelewa kuliko unavyonielewa

Hatuna tatizo na kubadili jina, hatuna tatizo na homeshopping au GSM au PCM,HGE n.k.

Tuna tatizo na ushiriki wa mkuu wa mkoa na hawa watu ambao kwa mujibu wako 'wamenusa hatari, wakabadili ngozi'' . Kwamba walichokuwa nafanya hakikuwa na moral values, sasa leo mkuu wa mkoa anaposhirikiana nao kwavile wamebadili jina, tena akiwaongoza kujenga majengo ya waumini wa dini akijua ni zao la moral decay hiyo ni moral decay ya hali ya juu

Mkuu wa mkoa anapojenga majengo ya serikali kwa kushirikana na GSM wakati yeye anadhamana ya kuhakikisha usafi wa washiriki , kuna tatizo

Ni kama hivi, wale watu wanaouza viungo vya binadamu watakapogeuza biashara hiyo haramu na ovu kwa kuingiza pesa katika kampuni ya mabasi tukakaa kimya kwasababu jina limebadilika, ni ukosefu wa maadili

Mkuu wa mkoa ana la kutueleza hapa! ushiriki wake na GSM unatia shaka sana kuliko kubadili majina

Kwa hili kuna mambo mawili
1. Mkuu wa mkoa awakane hadharani, na kuomba taasisi husika radhi
2. Akae kimya huku akiendelea kusiadia serikali kupambana na waouvu! awaache wananchi na hoja zao
 
Eti home shopping centre walikuwa gamba na kujitahidi GSM foundation kwa Magufuli amewaharalisha kwa sababu serikali yake wanafanya kazi kwa karibu ndio maana a naonekana mnafiki tu wengine anawatumbuwa wengine anawaka heshima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…