Sima jacson
Senior Member
- Apr 30, 2019
- 135
- 65
Kupenda ni kufanyaje? Sinuagi !Natumai pasaka inaenda poa Hapo ulipo..
Ni kawaida Kwa binadamu kuwa na hisia na mtu ambaye hawezi kuwa wake..hata iwe vipi..
Mimi Kuna mwanamke mmoja nampenda Kinoma..ila hawezi kuwa wangu..Nina uhakika na Hili..
Tutumie Uzi Huu kuwapa machache juu ya hisia zetu juu Yao
Mimi Naanza.. Kuna huyu mwanamke nilikuwa Naishi naye jirani nilitokea kumpenda Sana ila haikuwezekana kuwa wangu.. Maneno yangu machache Kwake.. ni kwamba "Nampenda hata kesho..Nitakupenda Mpaka Katika ulimwengu Ujao mama!"
Je Una lipi la kumwambia Yule Mtu ambaye unajua kabisa Huwezi kuwa nae
Tuendelee Kunywa taratibu
Khan!
Ahsante sana! Nashkuru kwa kuniitikiaShukrani; nakusalimu pia
Mi namuomba atafte mtu wa kuendana nae tu mi nimeshindwanipo tayari kumsaidia mpaka atapompata kisha waendelee kupendana katika bwana!
Mungu atakubariki ukifanya hivyo.Nikupe namba yake umsalimie mwenyewe?
Sasa mbona unamcc yeye unataka ajue mimi ndio nimekupa? Basi nimeghairi
Daah, kweli?
Mm kuna mtoto mmoja mkali vibaya mnooo!
NAOMBENI WOTE TUSIMAME KWA HESHIMA YA UZURI WAKE...
OK TUKAE
Huyo ndio anashikilia rekodi ya demu mkali kuwahi kumuona kwa macho
Kwa sasa nina uhakika nina percent 0.000005 ya kumpata lkn i believe one day yes mambo yatakaa poa, hata kama atakuwa wapi nitamfuata
Hata Ulaya na Marekani
Labda kuzimu!
Sasa hivi nasaka dollar tu maana aliwahi kuniambia saka dola
Jamani nampenda jamani
Jf
Nimepeendaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!
Asanteni
I LOVE YOU S...
NB: hata akiolewa ni wangu tuuuu!
Yeah kumsnitch mtu ndio siwezagi tatizo
Unataka kunitumia m pesa au?
Kama mapenzi safari kwako nishafika ninakokwenda ewe hamisa mobeto.
Rafiki mbaya weweeeeeSasa mbona unamcc yeye unataka ajue mimi ndio nimekupa? Basi nimeghairi
That was the whole idea, lakini huyu Khantwe amenishindwa kwa kweliUnataka kunitumia m pesa au?
Unataka kunitumia m pesa au?
Ulimuona nani kaolewa bila mahari?? Acha kumtisha Heaven SentUtaolewa bila mahari muone kwanza
Hivi unajua hali ni mbaya mpaka naftari kiepe zegeMimi nimefanyaje jamani