Sima jacson
Senior Member
- Apr 30, 2019
- 135
- 65
Kupenda ni kufanyaje? Sinuagi !Natumai pasaka inaenda poa Hapo ulipo..
Ni kawaida Kwa binadamu kuwa na hisia na mtu ambaye hawezi kuwa wake..hata iwe vipi..
Mimi Kuna mwanamke mmoja nampenda Kinoma..ila hawezi kuwa wangu..Nina uhakika na Hili..
Tutumie Uzi Huu kuwapa machache juu ya hisia zetu juu Yao
Mimi Naanza.. Kuna huyu mwanamke nilikuwa Naishi naye jirani nilitokea kumpenda Sana ila haikuwezekana kuwa wangu.. Maneno yangu machache Kwake.. ni kwamba "Nampenda hata kesho..Nitakupenda Mpaka Katika ulimwengu Ujao mama!"
Je Una lipi la kumwambia Yule Mtu ambaye unajua kabisa Huwezi kuwa nae
Tuendelee Kunywa taratibu
Khan!