Mpe maneno kadhaa yule mtu ambaye unajua huwezi kuwa naye kimapenzi!

Natumai pasaka inaenda poa Hapo ulipo..

Ni kawaida Kwa binadamu kuwa na hisia na mtu ambaye hawezi kuwa wake..hata iwe vipi..

Mimi Kuna mwanamke mmoja nampenda Kinoma..ila hawezi kuwa wangu..Nina uhakika na Hili..

Tutumie Uzi Huu kuwapa machache juu ya hisia zetu juu Yao

Mimi Naanza.. Kuna huyu mwanamke nilikuwa Naishi naye jirani nilitokea kumpenda Sana ila haikuwezekana kuwa wangu.. Maneno yangu machache Kwake.. ni kwamba "Nampenda hata kesho..Nitakupenda Mpaka Katika ulimwengu Ujao mama!"

Je Una lipi la kumwambia Yule Mtu ambaye unajua kabisa Huwezi kuwa nae

Tuendelee Kunywa taratibu

Khan!
Kupenda ni kufanyaje? Sinuagi !
 
Mi namuomba atafte mtu wa kuendana nae tu mi nimeshindwa😂😂😂 nipo tayari kumsaidia mpaka atapompata kisha waendelee kupendana katika bwana!
 
Mm kuna mtoto mmoja mkali vibaya mnooo!
NAOMBENI WOTE TUSIMAME KWA HESHIMA YA UZURI WAKE...

OK TUKAE
Huyo ndio anashikilia rekodi ya demu mkali kuwahi kumuona kwa macho

Kwa sasa nina uhakika nina percent 0.000005 ya kumpata lkn i believe one day yes mambo yatakaa poa, hata kama atakuwa wapi nitamfuata
Hata Ulaya na Marekani
Labda kuzimu!
Sasa hivi nasaka dollar tu maana aliwahi kuniambia saka dola
Jamani nampenda jamani
Jf
Nimepeendaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!
Asanteni
I LOVE YOU S...

NB: hata akiolewa ni wangu tuuuu!

aisee kweli kila mtu na ndoto yake
 
Ria Rodriguez. Popote ulipo huko ulimwenguni ujue mimi mwenzio alumn unanitesa sana.
 
6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom