Mpe maneno kadhaa yule mtu ambaye unajua huwezi kuwa naye kimapenzi!

Khan

Khan

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2012
Messages
5,739
Points
2,000
Khan

Khan

JF-Expert Member
Joined Dec 6, 2012
5,739 2,000
Natumai pasaka inaenda poa Hapo ulipo..

Ni kawaida Kwa binadamu kuwa na hisia na mtu ambaye hawezi kuwa wake..hata iwe vipi..

Mimi Kuna mwanamke mmoja nampenda Kinoma..ila hawezi kuwa wangu..Nina uhakika na Hili..

Tutumie Uzi Huu kuwapa machache juu ya hisia zetu juu Yao

Mimi Naanza.. Kuna huyu mwanamke nilikuwa Naishi naye jirani nilitokea kumpenda Sana ila haikuwezekana kuwa wangu.. Maneno yangu machache Kwake.. ni kwamba "Nampenda hata kesho..Nitakupenda Mpaka Katika ulimwengu Ujao mama!"

Je Una lipi la kumwambia Yule Mtu ambaye unajua kabisa Huwezi kuwa nae

Tuendelee Kunywa taratibu

Khan!
 
kabanga

kabanga

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2011
Messages
33,780
Points
2,000
kabanga

kabanga

JF-Expert Member
Joined Dec 12, 2011
33,780 2,000
Mwaanngu Niamni mimi watu wengi tuko na wapenzi wetu hawa kwa sababu wale wa ndoto zetu hatujawapata!
Mimi sikuwa na ndoto kabisa, niliweka vigezo vimefanya kazi, maisha yanasonga....
 
kabanga

kabanga

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2011
Messages
33,780
Points
2,000
kabanga

kabanga

JF-Expert Member
Joined Dec 12, 2011
33,780 2,000
Ungekuwa na uwezo zaidi ya huo ungetaka mwenye vigezo zaidi ya huyo!
mwanamke akiwa na elimu na pia mwenye khofu na mungu, basi ujue utakuwa na famalia nzuri sana japo wewe baba usiwe zuzu kabisa....
 

Forum statistics

Threads 1,333,944
Members 511,787
Posts 32,458,846
Top