Mpe maneno kadhaa yule mtu ambaye unajua huwezi kuwa naye kimapenzi!

Khan

JF-Expert Member
Dec 6, 2012
6,094
2,000
Natumai pasaka inaenda poa Hapo ulipo..

Ni kawaida Kwa binadamu kuwa na hisia na mtu ambaye hawezi kuwa wake..hata iwe vipi..

Mimi Kuna mwanamke mmoja nampenda Kinoma..ila hawezi kuwa wangu..Nina uhakika na Hili..

Tutumie Uzi Huu kuwapa machache juu ya hisia zetu juu Yao

Mimi Naanza.. Kuna huyu mwanamke nilikuwa Naishi naye jirani nilitokea kumpenda Sana ila haikuwezekana kuwa wangu.. Maneno yangu machache Kwake.. ni kwamba "Nampenda hata kesho..Nitakupenda Mpaka Katika ulimwengu Ujao mama!"

Je Una lipi la kumwambia Yule Mtu ambaye unajua kabisa Huwezi kuwa nae

Tuendelee Kunywa taratibu

Khan!
 

thA goD

JF-Expert Member
Jul 27, 2017
1,868
2,000
I never loved one labda kesho nikitoka nitachek chek.
Mi nataman tu tena ni pale NGEZI zikinishika
 

Jokajeusi

JF-Expert Member
Jun 1, 2018
4,305
2,000
Utapendaje mtu usiyeweza kumpata. Tafsiri yake ni nini.

Mimi mwanamke nikimuhitaji lazima niseti mipango ya kijasusi nijue ABC za mambo anayoyapenda na kuyachukia then natokeapo humo humo kwenye mambo hayo.
 
Top Bottom