Mama Sabrina
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 16,621
- 27,567
Ndoo G huyo?
Ooooh! Basi sawa.Ndio maaa
Aisee 😂😂😂😂😂😂😂😂😂Msenge anajikuta Chris brown sana qmmmake😂😂😂😂😂,,,,eti hajawahi kula Topaz af unakuta mwamba mwenyewe sura kama kitako cha karai!
Hahah mama naona umecheeeka mwenyeweAisee 😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Kho kho kho khoA nakupenda sana ila naomba uoe ili niwe huru, unapoendelea kuwa bachela unanifanya nihisi labda kuna siku tutakuwa pamoja kitu ambacho najua hakipo
Kho kho kho kho
Jamani kwani mimi nimefanyaje???Umbea tu
Halafu jana umenidanganyaJamani kwani mimi nimefanyaje???
Mdogo angu em nifungukie vizuri basi kwa nini hamuwezi kuwa pamoja...A nakupenda sana ila naomba uoe ili niwe huru, unapoendelea kuwa bachela unanifanya nihisi labda kuna siku tutakuwa pamoja kitu ambacho najua hakipo
Mdogo wangu hata sielewi, nimeandika tuMdogo angu em nifungukie vizuri basi kwa nini hamuwezi kuwa pamoja...
NakusalimiaMdogo angu em nifungukie vizuri basi kwa nini hamuwezi kuwa pamoja...
Nsalimie mdogo wakoMdogo wangu hata sielewi, nimeandika tu
Mdogo wangu hata sielewi, nimeandika tu
Nakusalimia
Nikupe namba yake umsalimie mwenyewe?Nsalimie mdogo wako