Mpe maneno kadhaa yule mtu ambaye unajua huwezi kuwa naye kimapenzi!

I never loved one labda kesho nikitoka nitachek chek.
Mi nataman tu tena ni pale NGEZI zikinishika
 
nampenda sana huyu mrembo ingawa cjawahi kumuona live
 

Attachments

  • FB_IMG_1555952242856.jpg
    FB_IMG_1555952242856.jpg
    26.3 KB · Views: 33
Utapendaje mtu usiyeweza kumpata. Tafsiri yake ni nini.

Mimi mwanamke nikimuhitaji lazima niseti mipango ya kijasusi nijue ABC za mambo anayoyapenda na kuyachukia then natokeapo humo humo kwenye mambo hayo.
 
Back
Top Bottom