Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 137,496
- 272,113
hii chadema imejengwa na cementi ya nyati nini ? maana tangu waanze kusema inavunjika mpaka leo bado tu ?
Member wa vikao hivyo ndio mwenye kuweza kulalamikia kuwa taarifa hizo haziletwi. Nje ya hapo ni upuuzi. Mbona hata CAG aliyepewa mamlaka kisheria ya kuchunguza hesabu za vyama hajawahi kuituhumu Chadema kuwa haitoi taarifa?Mbowe ni Nkurunzinza......vikao vya chama haviweki wazi mapato na matumizi ya chama yanafanyikaje.....Mpendazoe yupo sahihi na ni vigumu kwa wafuasi wa Lowassa ( New CDM) kuelewa hili.
Mkuu naona hawa wanaoendeleza alikoishia wasira ni wapya hapa jukwaani na siasa za cdm kwa ujumla,wamuulize wasira yuko wapi sasa baada ya kuitabiria kifo cdm sasa yupo kwao anachunga mbuzi na siasa amesha zisahauhii chadema imejengwa na cementi ya nyati nini ? maana tangu waanze kusema inavunjika mpaka leo bado tu ?
Mkuu chakaza hilo ni buyu la lumumba, hapa linatafuta kuingiza buku 7 hujui kuwa easter ndiyo inakariba?hivyo kawaaga watoto wake kuwa kaenda kaziniMember wa vikao hivyo ndio mwenye kuweza kulalamikia kuwa taarifa hizo haziletwi. Nje ya hapo ni upuuzi. Mbona hata CAG aliyepewa mamlaka kisheria ya kuchunguza hesabu za vyama hajawahi kuituhumu Chadema kuwa haitoi taarifa?
Ha ha ha mbona mlipaji kaenda mapumziko hadi jumatano?Mkuu chakaza hilo ni buyu la lumumba, hapa linatafuta kuingiza buku 7 hujui kuwa easter ndiyo inakariba?hivyo kawaaga watoto wake kuwa kaenda kazini
Mpendazoe si mmiliki wala si mmoja wa wanafamilia, sidhani kama ataweza kumtoa machokumchuzi kwenye umiliki wa kitega uchumi cha familia yao.Mpendazoe ndiyo alete mpasuko chadema hiki ni kituko cha mwaka ilibaki kidogo kilingane na hadithi ya jecha
Teeeeeeeeh teeeeeeeeh, kwa maana nyingine ndio tayari wameisoma namba?Ha ha ha mbona mlipaji kaenda mapumziko hadi jumatano?
Hao watoto wao easter wataisikia tuu, labda watu pm tutor kansaada kidogo. Undugu ni kufaana sio kufanana
Mbowe ni Mungu wao hao, hata kumtaja jina lake wanajionya kwanza, hakuna hata mtu mmoja ndani ya cdm anayeweza kumvaa Mboye.Yaani MTU anayeongoza harakati ni Mpendazoe? Harakati hizo zitakua zimeshindwa kabla ya kuanza
hii inaweza kuwa post bora kabisa kwenye uzi huu .Member wa vikao hivyo ndio mwenye kuweza kulalamikia kuwa taarifa hizo haziletwi. Nje ya hapo ni upuuzi. Mbona hata CAG aliyepewa mamlaka kisheria ya kuchunguza hesabu za vyama hajawahi kuituhumu Chadema kuwa haitoi taarifa?
Aiseee ..............Hakuna kipindi ambacho Chadema iko kwenye mshikamano na umoja wa hali ya juu kama sasa.
Naona siku zako za kurudi mirembe ndio zinakaribia kwani ndio mwisho wa mweziMpendazoe si mmiliki wala si mmoja wa wanafamilia, sidhani kama ataweza kumtoa machokumchuzi kwenye umiliki wa kitega uchumi cha familia yao.
Hivi mmiliki wa meli iliyokamatwa na meno ya tembo kule ughaibuni alisha enda kumaliza kesi yake?Mbowe ni Mungu wao hao, hata kumtaja jina lake wanajionya kwanza, hakuna hata mtu mmoja ndani ya cdm anayeweza kumvaa Mboye.
Asante sana mkuu kwa kutupatia mwanga wa kukijua kiundani hicho kijarida, saluteHiki kigazeti ni cha kada wa CCM anaitwa Julius Mapunda, anakimiliki pamoja na kile kigazeti chake kingine kinaitwa Tazama. Kwa miaka yote hivi vigazeti hulipiwa gharama za kuchapishwa nakala zake na CCM.
Sasa kwa kigazeti hicho kutumiwa kama chanzo cha thread hapa JF ni sawa na kulikosea heshima hili jukwaa.
Ova
Mkuu siyo inaweza bali ni post bora kabisahii inaweza kuwa post bora kabisa kwenye uzi huu .
Sasa kama wanamuogopa watahojije?Member wa vikao hivyo ndio mwenye kuweza kulalamikia kuwa taarifa hizo haziletwi. Nje ya hapo ni upuuzi. Mbona hata CAG aliyepewa mamlaka kisheria ya kuchunguza hesabu za vyama hajawahi kuituhumu Chadema kuwa haitoi taarifa?
Ptyuuuuuuu,siwezi kuwa ndugu na chumia tumboView attachment 332448