Mpasuko wanukia CHADEMA

Mpasuko wanukia CHADEMA

Lumumba wana haha kweli, walisema chadema kinakufa, wakasema slaa kaondoka na chama, wakasema hawawezi kushinda chaguzi za 2015, walisema zitto kaondoka chadema hakifai, wakasema cha kaskazini, wakasema cha kichaga. Leo huyu alieshindwa kujenga chama chake aje ampindue mbowe?! haya si maajabu ni upuuzi haufai hata kujadiliwa. Chadema hakipasuki zaidi ndio kimezidi kuwa imara.
 
Tumesha wazoea mlisema UKAWA ungekufa kabla ya uchaguzi wa october 2015.Lakini ndiyo umewatia kidole kwa nyuma hapo Dar.
Teeeeeeeeh teeeeeeeeh teeeeeeeeeh, hiyo naona ndio msumari wa kufungia midomo yao mirefu hao lumumba
 
Lumumba wana haha kweli, walisema chadema kinakufa, wakasema slaa kaondoka na chama, wakasema hawawezi kushinda chaguzi za 2015, walisema zitto kaondoka chadema hakifai, wakasema cha kaskazini, wakasema cha kichaga. Leo huyu alieshindwa kujenga chama chake aje ampindue mbowe?! haya si maajabu ni upuuzi haufai hata kujadiliwa. Chadema hakipasuki zaidi ndio kimezidi kuwa imara.
Na ndio kwanza kinawafanya lumumba wasipate usingizi, maana kila kukicha ni kukimbizana kwenye vyombo vya habari kuomba kuombewa, chezea cdm !!!!!
 
Mkuu usicheke maana tuendako nikilio kikubwa, me hadi sasa maji yamepungua mwilini kwa kulilia haki za mamilion ya watu kuporwa
Mkuu ukombozi upo karibu sana,kwani hata Mandela alikaa sana jela miaka 27 na mwisho wake akaja kuwa rais na kuwaongoza hao walio mtesa na kujiona kuwa wao ndio wenye nchi
 
Haahaaa!!!! Mpendazoe huyu mlokole feki! Alitushindisha njaa kwenye semina Na akatukosesha ubunge wa segerea simsahau huyu MTU Na Hana ubavu ndani ya Cdm kwanza hatumjui kama anaushawiahi.
 
Lumumba wote uezo wao wa kufikiri na kuandika ni mdogo sana,ndio maana wanatumia hivyo vipeperushi

Ukizungumzia uwezo tafakari mara mbili, kwanza tafakari 'uezo' wako wewe mwenyewe wa kuandika, pili jiulize je, kuna shule wanayosoma cdm peke yao na ccm peke yao? Kwa nini 'uezo' wa cdm uwe mkubwa kuliko wa Lumumba basi! Ushabiki mwingine ukija nao public unaweza kujishushia heshima pasipo we mwenyewe kufahamu
 
Wanaishabikia ccm 75% ni watu aheri ya jana kuliko leo,vinginevyo wanajificha kwenye koti hilo kwa nia hovu
 
Mmawia hivyo unasema ccm ni chama cha mafukara kama nimekupata uzuri. Kwa maana hiyo kwanza wewe si fukara na pia ni msomi na pia ccm ina uhakika bado wa kuwa chama imara kwani zaidi ya asilimia 80 ya watanzania ni mafukara.Nisahihishe kama sijakuelewa uzuri
 
1458907866531.jpg
 
Mmawia Mmawia mbona unakimbia mjadala, nduguyo nataka kueleweshwa nami nipate faida ya usomi wako na nijue mwenzangu umetokaje katika ufukara unaonitesa mimi, ningependa nami unimegee 'uezo' wako,nduguyo sina nia 'hovu' nawe
Ptyuuuuuuu,siwezi kuwa ndugu na chumia tumbo
1458908498537.jpg
 
Back
Top Bottom