mcubic
JF-Expert Member
- Mar 3, 2011
- 10,310
- 6,546
Haimaanishi kuwa nilichokiongea ni uongo......BTW CDM halisi tupo wazalendo......nyie wafuasi wa Lowassa na pesa zenu mmenunua chama chetuKwahiyo wewe uliyefukuzwa toka cdm ukaenda ccm na act huko unaeneza mawazo ya cdm?