Mpasuko wanukia CHADEMA

Mpasuko wanukia CHADEMA

Movie zingine zinanichanganya sijui tatizo ni lugha ama kutokuwekewa subtitle!?
 
Gazeti la
Mkakati
Uhuru
Raia Tanzania
Habari leo
Mzalendo
Matapeli wa CCM, wasipoandika kuhusu Chadema minyoo zinaongezeka ni mwendo wa kujikuna tu
 
Duh, Ndio maana! Unajua nilikua najiuliza maswali mengi sana, Hivi mtu Na akili Zako timamu naanzaje Kua Kada wa CCM! Kumbe Ni maslahi.. Doh
Mkuu hiyo ndio siri iliyopo,chukua chako mapema, ( ccm )
 
Gazeti la
Mkakati
Uhuru
Raia Tanzania
Habari leo
Mzalendo
Matapeli wa CCM, wasipoandika kuhusu Chadema minyoo zinaongezeka ni mwendo wa kujikuna tu
Mimi siwezi kununua huo utumbo wao hata kama ela nimeiokota bora nikawape kina matonya dodoma
 
Mbowe ni Nkurunzinza......vikao vya chama haviweki wazi mapato na matumizi ya chama yanafanyikaje.....Mpendazoe yupo sahihi na ni vigumu kwa wafuasi wa Lowassa ( New CDM) kuelewa hili.
Ha a ha ha haaaaa!!! Mbowe tena!!! Kama Nkurunzinza??( kwa sauti ya Joti Huku akitabasamu Na kuvuta suruali Yake vizuri)

Me nilijua Nkurunzinza Ni wenye meno tu!
 
Yapasuke tu
Maana ipoipo tu
Kazi kutegemea wanywa Viroba kama nguzo yao
 
Magazeti ya udaku bhana duuh ili mradi yauze nakala
 
Tumesha wazoea mlisema UKAWA ungekufa kabla ya uchaguzi wa october 2015.Lakini ndiyo umewatia kidole kwa nyuma hapo Dar.
 
Back
Top Bottom