Mpasuko wanukia CHADEMA

Mtini

JF-Expert Member
Apr 28, 2011
1,491
2,355
Fredy Mpendazoe aongoza harakati za kumpindua Mbowe.
20160325_045324.jpg
 
Nilidhani SingidaDodoma pekee smbaye chanzo chake cha habari ni magazeti ya udaku,kumbe Kuna bazazi mwingine
 
Mbowe ni Nkurunzinza......vikao vya chama haviweki wazi mapato na matumizi ya chama yanafanyikaje.....Mpendazoe yupo sahihi na ni vigumu kwa wafuasi wa Lowassa ( New CDM) kuelewa hili.
 
Hivi huyu jamaa yupo, aligombea ubunge segerea wakampiga chini. Hana ubavu huo.
 
ccm yako ilishawai tangaza matumizi?
Iambie ccm itoe hesabu ya pesa ya matumizi ya kampeni za uchaguzi wa 2015
Sasa tofauti ya CDM na CCM iwapi, ilhal kila jambo kioo chenu ni wao? Ama kweli Ali Hassan Mwinyi hakukosea pale aliposema CDM ni CCM B
 
Mbowe ni Nkurunzinza......vikao vya chama haviweki wazi mapato na matumizi ya chama yanafanyikaje.....Mpendazoe yupo sahihi na ni vigumu kwa wafuasi wa Lowassa ( New CDM) kuelewa hili.
Well said mcubic......!!!!!
 
MPendazoe yupo sahihi cdm imekufa kitambo imeshapigwa mnada longtime na mbowe
 
Back
Top Bottom