Mpasuko wanukia CHADEMA

Mpasuko wanukia CHADEMA

Lichama hili silipendi ona sasa ndo katika ubora wenu hapo?
 

Attachments

  • 1458883779337.jpg
    1458883779337.jpg
    37.3 KB · Views: 26
ingalikuwa uwezo wangu sawa na jaji mutungi, hili li chama la wakunja ngumi na kuzungurusha mkono ningelifutilia mbali!
 
Tulipata kusikia upinzanii et utakufaa baada ya uchaguzii ,sasa naonaa mnarefushaa mudaa ilaa hats hawa ccm hawanaa maish. Mazuri baada ya magufuli kuuchukua uenyekitii
 
Mbowe ni Nkurunzinza......vikao vya chama haviweki wazi mapato na matumizi ya chama yanafanyikaje.....Mpendazoe yupo sahihi na ni vigumu kwa wafuasi wa Lowassa ( New CDM) kuelewa hili.
Anzisha Chama chako Mkuu! Nafasi bado zipo! Yanini kupasua kichwa kwa issue ndogo Kama hiyo?
 
Chadema chama kisichoaminika watapinga hii hadi mwisho kama walivyokapinga ujio wa lowasa kumbe mbowe alishajipigia dili kitambo...!!
Mbona alipofukuzwa babako zzk hawakubisha?
 
Nilidhani SingidaDodoma pekee smbaye chanzo chake cha habari ni magazeti ya udaku,kumbe Kuna bazazi mwingine
Lumumba wote uezo wao wa kufikiri na kuandika ni mdogo sana,ndio maana wanatumia hivyo vipeperushi
 
Back
Top Bottom