Mpasuko wanukia CHADEMA

Mpasuko wanukia CHADEMA

Hivi mmiliki wa meli iliyokamatwa na meno ya tembo kule ughaibuni alisha enda kumaliza kesi yake?
Siku hizi kajificha kabisa hajionyeshi onyeshi. Hata sins hakika kama hata Zanzibar kumtawadha mtu wao kama alienda.
Kuna mtu kaniambia toka Maghembe apewe Maliasili kanywea maana wakati wa Mkwere alikuwa anamtangaza kuwa ni mzigo na jamaa Profesa kasema watakutana porini ama zake ama za profesa. Kanywea kabisa Dentist
 
Kwahiyo CCM inajificha nyuma ya CHADEMA?
Ungesoma mtiririko wa majibizano, ungedua uyaelezayo ni kinyume, mathalani wewe uliondoka CCM kumfuata Lowasa CDM.....yumkini unaambukiza mawazo ya kiccm CDM.....
 
Chadema chama kisichoaminika watapinga hii hadi mwisho kama walivyokapinga ujio wa lowasa kumbe mbowe alishajipigia dili kitambo...!!

Sasa kama aliweza hilo kubwa nawe ukaamini ni kweli lilikua dili la Mbowe sembuse Mpendazoe ambae ukimshtukiza ghafla hata jina chadema hawezi litamka? Mpendazoe alishakosa kote bara na pwani ili iweje hata mpasuko ukiwepo faida yake kwake ni ipi?Kuwa atapewa uenyekiti chadema?Walishindwa manguli wa siasa kina Slaa na wenzie wengine. Yaani chadema ni imara kama chuma cha pua.
 
Huu ni utabiri. Kuna mwanasiasa mmoja ambaye alikuwa analala sana bungeni aliwahi kusema chama hicho kitakufa kabla ya mwaka 2015. Chama hakikufa; kimeendelea kukuwa.
 
Chadema chama kisichoaminika watapinga hii hadi mwisho kama walivyokapinga ujio wa lowasa kumbe mbowe alishajipigia dili kitambo...!!
Kweli hakuaminiki ila nashangaa sasa wamepata ridhaa ya wana jiji.... Think rationally...
 
Lumumba mnajilazimisha kujamba wakati tumbo linahala subir tuone mwisho
 
Ungesoma mtiririko wa majibizano, ungedua uyaelezayo ni kinyume, mathalani wewe uliondoka CCM kumfuata Lowasa CDM.....yumkini unaambukiza mawazo ya kiccm CDM.....
Kwahiyo wewe unaamini kuwa CCM bado ina mawazo "makini" mpaka kufikia CHADEMA kuwaiga?
 
Muulize Mbatia na NCCR au Lipumba na CUF (Bara) utapata jibu kulikoni CHADEMA.
1458924631009.jpg
 
Nchi hii bwana, watu wanaojifanya wana demokrasia hata uwezo wa kusikiliza hoja ya mtu na kuijibu hawana, ukimpa hoja anakimbilia katika vijitu vidogo vidogo kukimbia hoja ama kujificha uwezo wake kwa kutukana. Hoja inajibiwa kwa hoja na si kuitana majina ya kufikirika wala kutukanan na pia hata katika chama kimoja cha siasa watu wana ufikiri tofauti majadiliano lazima yafanyike. Muafaka haufikiwi kwa kumtukana wala kumkashifu mtu bali kutoa hoja yenye nguvu. Kama mtu anayejiona yeye anaelewa yuko namna hii basi sisi tusiolewa tuko taabani.Utupu wa kichwa una dhalilisha kuliko utupu wa mwili.
Hujalazimishwa kuchangia post zangu,kama unaiona ni mwiba kwako ipotezee
 
Siku hizi kajificha kabisa hajionyeshi onyeshi. Hata sins hakika kama hata Zanzibar kumtawadha mtu wao kama alienda.
Kuna mtu kaniambia toka Maghembe apewe Maliasili kanywea maana wakati wa Mkwere alikuwa anamtangaza kuwa ni mzigo na jamaa Profesa kasema watakutana porini ama zake ama za profesa. Kanywea kabisa Dentist
Teeeeeeeeh teeeeeeeeh teeeeeeeeeh nyie watu jamani mna maneno,kajificha!!!!!,ila nasikia jana alikuwepo kumuwakilisha mkuu wa nchi asilia yake kule kwenye mabomu
 
Ungesoma mtiririko wa majibizano, ungedua uyaelezayo ni kinyume, mathalani wewe uliondoka CCM kumfuata Lowasa CDM.....yumkini unaambukiza mawazo ya kiccm CDM.....
Kwahiyo wewe uliyefukuzwa toka cdm ukaenda ccm na act huko unaeneza mawazo ya cdm?
 
Sasa kama aliweza hilo kubwa nawe ukaamini ni kweli lilikua dili la Mbowe sembuse Mpendazoe ambae ukimshtukiza ghafla hata jina chadema hawezi litamka? Mpendazoe alishakosa kote bara na pwani ili iweje hata mpasuko ukiwepo faida yake kwake ni ipi?Kuwa atapewa uenyekiti chadema?Walishindwa manguli wa siasa kina Slaa na wenzie wengine. Yaani chadema ni imara kama chuma cha pua.
Asante sana mkuu kwa kutoa ufafanuzi ulioshiba kwa nondo za mm30
 
Lumumba wapuuzi kweli kweli Kila Siku waja Na ngonjera mpya kuhusu cdm kumbe hamlali hata chooni hamuendi, mwataman ife, aiseee huruma
 
Back
Top Bottom