Pelekaroho
JF-Expert Member
- Sep 15, 2010
- 1,602
- 378
Hao chadema bado hawajapasuka tu, wenzao zanzibar walishapasuka siku nyingi.
Hujalazimishwa kuchangia post zangu,kama unaiona ni mwiba kwako ipotezee
Acha kujitoa akili mkuu cdm cyo ile mbowe ni mtoto wa mjini kashachukua chake kimya kimya.MKUU fafanua kauli hii mnada ulifanyika wapi na tangazo lake lilitangazwa lini ,