Mpasuko Chadema

Mpasuko Chadema

yuko kazini, hongera unajitahidi lakini; wakuongeze dau???
 
Tukaona kuwa hata Fundikira ambae ni Mwenyekiti wa Wenyeviti wa Chadema mkoani Arusha kukataa kuhudhuria muago huo, akisingizia kuwa alikuwa na wageni nyumbani kwake. Wageni zaidi ya Mwenyekiti wake wa Taifaa na Katibu Mkuu wake na Kuaga "wahanga"? hilo ni la kujiuliza.

...

Kwenye Katiba ya CHADEMA Hamna cheo cha mwenyekiti wa wenyeviti. Wacha kutufanya sisi watoto wadogo. Naona umekosa cha kuandika unabwabaja tu.
 
Onyesha pumba moja katika hayo!
nenda ukaanzishe site yenu na mkwere mwenzio ndo uwe una post hizi thread zako za kipuuzi...............sawa zoba,mana u olwez controlled by feelings n not reasoning.
 
Baada ya sakata la kususia hotuba ya Rais Bungeni na mpasuko uliojitokeza huko, hivi sasa kuna mambo kadhaa ya ndani ya Chadema yanayo ashiri kuisambaratisha Chadema.

1) Kususia Hotuba ya Rais

Hili limetuonyeshaa ni jinsi gani Chadema inavyoendeshwa bila muelekeo, wakati wabunge wao wengi wa-kisusia hotuba ya Rais wengine wengi walisusia shinikizo la Mwenyekiti wao na kuamuwa kuto ingia kabisa bungeni siku hiyo. N awengine tukawaona, usiku huo kwenye hafla ya Rais ilhali viongozi wa Chadema walishinikiza wabunge wa Chadema wote wasiende huko.

2) Kugombea vyeo na nafasi za upendeleo.

Tumeona sakata la nafasi za upendeleo haswa za ubunge jinsi zilivyoleta mvutano ndani ya Chadema na kufikia wana Chademaa wengine kuwachia ngazi, hii ni dalili tosha kuwa utawala wa ndani wa Chadema una mapungufu makubwa.

Tukaona pia jinsi Zitto alivyopigwa chini na Mwenyekiti wake katika kuwania nafasi ya uongozi wa upinzani bungeni. Hali kadhalika tukaona Zitto alivyosulubiwa mpaka kulazwa hiospitali na kupigwa marufuku na uongozo wa Chadema kuwa asiongee na vyombo vya habari kuhusu Chadema kwani yeye si msemaji wa Chadema.

3) Sakata la Arusha:

Tumeona jinsi wengi wa viongozi wa Chadema kutokuhudhuria kwenye maadamano yaliyoshinikizwa na kushadidiwa na viongozi wachache wa Chadema. Na pia tukaona mvutano mkubwa ukitokea katika kutumia maiti kama njia ya kujipatia umaarufu Chadema, ni viongozi wachache wa Chadema walihudhuria "kuaga miili ya marehemu" hao.

Tukaona kuwa hata Fundikira ambae ni Mwenyekiti wa Wenyeviti wa Chadema mkoani Arusha kukataa kuhudhuria muago huo, akisingizia kuwa alikuwa na wageni nyumbani kwake. Wageni zaidi ya Mwenyekiti wake wa Taifaa na Katibu Mkuu wake na Kuaga "wahanga"? hilo ni la kujiuliza.

Ukitazama kwa juu juu utaona hayo si kama mambo ya kawaida, na ukiingia ndani kidooogo, utaona kuwa huo ni mpasuko na mtafuruku mkubwa ndani ya Chadema.

Wenye macho hawaambiwi tazama, na wenye masikio hawaambiwi...
Zoba utadanganywa na mapungufu ya kiufundi mpaka lini, nchi yetu inataka viongozi wanaojitoa mhanfpga kama wanajeshi la umma, CDM, sijaona kama umeona DAWONS si tatizo kwako, unaongelea pilipili inayo liwa umeacha kuzungumia heroine cocaine za ccm kwa wadanganyika kama ww? madini na mazao ya maliasili yanavyo ibwa huoni? au umoja wa majambai ;olini unaufagilia ukiponda upungufu ktk CDM? kama ni ccm tunisia itawakuta tutachoka kuburuzwa na hata makinda akina r,,,,,,,,z''''''''''''1........... wanaodhani tz ni yao.
Siyo siri umeniboa na urofa na uzoba wakufikiri, amka ukomboe nchi yako, wacha maji ya majani ya mgoma vaa magwanda tuponye nchi.
kudadadeki nimechikia sn.
 
mkuu... hapo chamkoroma kuna madini mengi sana...kuna rose quartz na sandstone ya kufa mtu
 
Duhhh, ukweli unauma, nimetonesha kidonda! Mamaaa.
 
zomba naona unajitahidi kushawishi nguvu ya uma kubadili mwelekeo ila ni ngumu, ila big up hatuewzi kukubaliana kwa kila jambo
 
kichefuchefu..............,unajisikiaje unvyokuwa haupat support,naona thread zako unatetea mwenyewe no body ansupport ur ideas.......duhhhhhhhhhhhhhhh
 
DUU!!! Cha ajabu sana Zomba ni Senior Member. Lakini si ajabu sana kwani hata Makaba anaweza kuongoza chama na analysis zake huwa hizi hizi kama za zomba. Kwani hilo zigo la Ruzuku ndogo litawaacha salama. Hatutashangaa makatibu wa wilaya wote wakiachia manyanga na kukiacha chama hakina tena mizizi mashinani.

Hiyo red umekosea ni: zomba
user-online.png
JF Senior Expert Member
 
kichefuchefu..............,unajisikiaje unvyokuwa haupat support,naona thread zako unatetea mwenyewe no body ansupport ur ideas.......duhhhhhhhhhhhhhhh

Kwa sababu wananikubali.
 
zomba naona unajitahidi kushawishi nguvu ya uma kubadili mwelekeo ila ni ngumu, ila big up hatuewzi kukubaliana kwa kila jambo

Mnakataa kuwa kulikuwa hakuna kupingana kususa au kutokususa hotuba ya Rais na wengine wakasusa kuingia ndani ya ukumbi?
 
nenda ukaanzishe site yenu na mkwere mwenzio ndo uwe una post hizi thread zako za kipuuzi...............sawa zoba,mana u olwez controlled by feelings n not reasoning.

Unakataa ukweli?
 
Zombie, unajitahidi mwana kufuatilia siredi yako, maana katika kila michango 3 miwili ni ya kwako unataka tu nawewe uonekane uko bize. Pole bwana mdogo lakini kama ni kazi ya kutumwa waambie waliokutuma kazi imekushinda, Wadanganyika hawadanganyiki tena! tena wamekuwa werevu hao!

Wenzenu Arusha wamedanganywa na kina Slaa huko wakala mkong'oto wengine wakajifia bure bila faida, kisa nini? kudanganywa! halafu, hooo sie hatudanganyiki.
 
Back
Top Bottom