Mpasuko Chadema

Mpasuko Chadema

Daa ngoja ni njamazee tuu nikimjibu huyu bweg.. nitapigwa ban!
 
Lbada ni makosa kuwaonyesha mapungufu? ambayo ni ya kweli tupu, watu wenye maana na mawazo wangema mnhhhh, huyu outsider kayaona haya, hebu tutazame namna ya kuyarekebisha.
you dont even qualify to be an outsider!! you are just a crap, full stop!
 
baada ya sakata la kususia hotuba ya rais bungeni na mpasuko uliojitokeza huko, hivi sasa kuna mambo kadhaa ya ndani ya chadema yanayo ashiri kuisambaratisha chadema.

1) kususia hotuba ya rais

hili limetuonyeshaa ni jinsi gani chadema inavyoendeshwa bila muelekeo, wakati wabunge wao wengi wa-kisusia hotuba ya rais wengine wengi walisusia shinikizo la mwenyekiti wao na kuamuwa kuto ingia kabisa bungeni siku hiyo. N awengine tukawaona, usiku huo kwenye hafla ya rais ilhali viongozi wa chadema walishinikiza wabunge wa chadema wote wasiende huko.

2) kugombea vyeo na nafasi za upendeleo.

tumeona sakata la nafasi za upendeleo haswa za ubunge jinsi zilivyoleta mvutano ndani ya chadema na kufikia wana chademaa wengine kuwachia ngazi, hii ni dalili tosha kuwa utawala wa ndani wa chadema una mapungufu makubwa.

Tukaona pia jinsi zitto alivyopigwa chini na mwenyekiti wake katika kuwania nafasi ya uongozi wa upinzani bungeni. Hali kadhalika tukaona zitto alivyosulubiwa mpaka kulazwa hiospitali na kupigwa marufuku na uongozo wa chadema kuwa asiongee na vyombo vya habari kuhusu chadema kwani yeye si msemaji wa chadema.

3) sakata la arusha:

tumeona jinsi wengi wa viongozi wa chadema kutokuhudhuria kwenye maadamano yaliyoshinikizwa na kushadidiwa na viongozi wachache wa chadema. Na pia tukaona mvutano mkubwa ukitokea katika kutumia maiti kama njia ya kujipatia umaarufu chadema, ni viongozi wachache wa chadema walihudhuria "kuaga miili ya marehemu" hao.

Tukaona kuwa hata fundikira ambae ni mwenyekiti wa wenyeviti wa chadema mkoani arusha kukataa kuhudhuria muago huo, akisingizia kuwa alikuwa na wageni nyumbani kwake. Wageni zaidi ya mwenyekiti wake wa taifaa na katibu mkuu wake na kuaga "wahanga"? Hilo ni la kujiuliza.

Ukitazama kwa juu juu utaona hayo si kama mambo ya kawaida, na ukiingia ndani kidooogo, utaona kuwa huo ni mpasuko na mtafuruku mkubwa ndani ya chadema.

Wenye macho hawaambiwi tazama, na wenye masikio hawaambiwi...

wewe kweli zomba -think outside the box, kama kweli unayaona mapungufu ya vyama basi ungaenza na chama tawala

ccm kimepoteza dira kabisa -mifano

1. Wamedandia hoja ya katiba kichwakichwa-rais wao anasema lingine, mwansheria lingine, waziri wa sheria lingine na wazee kama kina kisumo lingine -hapa kweli kuna coordination??? Umeliona hilo aibu tupu

2. Dowans -mawaziri wanasema lingine, ngeleja anasema lingine, makada wanasema lingine, mwenyekiti wao anaona aibu kuliongelea -poor and lack of good governance -hapa ni aibu kwenda mbele -mafisadi wanaongoza chama -sio chama cha wakulima na wafanyakazi tena ni cha ra na el-mafisadi

3. Mauaji arusha-nahodha anasema lake, igp aliyetuma kuua anasema lake, chagonja anatetea serikali kwa kuua anasema lake, makamba anasema lake, chitanda anasema lake ni vurugu tupu-wanatumia polisi na marehemu kuzuia marehemu kwenda uwanjani -aibu kweli -hujaona hayo

4. Migomo kila kona sasa-udom, udsm,raawu -ccm imeshindwa kuongoza nchi -shida kila kona sasa umma utawafukuza

5. Ccm inachakachua mpaka umeya??? Aibu kwelikweli.

Chadema kiukweli ni moto mkali kwa sasa ni kimbilio la wanyonge mtahangaika sana.
 
zoba wewe hauna lolote. unauchungu gani na chadema wewe? iache uone kam,a itasambaratatika
 
Indeed it is.

Join Date
Tue Nov 2007
Posts
1,394
Thanks
23
Thanked 41 Times in 35 Posts

Naona watu wanakukaushia saana post zote hizo thanked 41 tuu...mmmh!! Kaza kamba utafika tuu maaana mko wachache saana CCM tanzania hii lakini bado mnasumbua jamiii...
 
Wanaonijua wanaelewa si chadema lakini hata kama kuipinga chadema thread kama hii mmh mmh, hapana
sitaiita crap, lakini haitusadii
 
JF hebu nisaidieni spelling za jina hili; ni 'Zomba' au 'Zoba'???????????
 
Baada ya sakata la kususia hotuba ya Rais Bungeni na mpasuko uliojitokeza huko, hivi sasa kuna mambo kadhaa ya ndani ya Chadema yanayo ashiri kuisambaratisha Chadema.

1) Kususia Hotuba ya Rais

Hili limetuonyeshaa ni jinsi gani Chadema inavyoendeshwa bila muelekeo, wakati wabunge wao wengi wa-kisusia hotuba ya Rais wengine wengi walisusia shinikizo la Mwenyekiti wao na kuamuwa kuto ingia kabisa bungeni siku hiyo. N awengine tukawaona, usiku huo kwenye hafla ya Rais ilhali viongozi wa Chadema walishinikiza wabunge wa Chadema wote wasiende huko.

2) Kugombea vyeo na nafasi za upendeleo.

Tumeona sakata la nafasi za upendeleo haswa za ubunge jinsi zilivyoleta mvutano ndani ya Chadema na kufikia wana Chademaa wengine kuwachia ngazi, hii ni dalili tosha kuwa utawala wa ndani wa Chadema una mapungufu makubwa.

Tukaona pia jinsi Zitto alivyopigwa chini na Mwenyekiti wake katika kuwania nafasi ya uongozi wa upinzani bungeni. Hali kadhalika tukaona Zitto alivyosulubiwa mpaka kulazwa hiospitali na kupigwa marufuku na uongozo wa Chadema kuwa asiongee na vyombo vya habari kuhusu Chadema kwani yeye si msemaji wa Chadema.

3) Sakata la Arusha:

Tumeona jinsi wengi wa viongozi wa Chadema kutokuhudhuria kwenye maadamano yaliyoshinikizwa na kushadidiwa na viongozi wachache wa Chadema. Na pia tukaona mvutano mkubwa ukitokea katika kutumia maiti kama njia ya kujipatia umaarufu Chadema, ni viongozi wachache wa Chadema walihudhuria "kuaga miili ya marehemu" hao.

Tukaona kuwa hata Fundikira ambae ni Mwenyekiti wa Wenyeviti wa Chadema mkoani Arusha kukataa kuhudhuria muago huo, akisingizia kuwa alikuwa na wageni nyumbani kwake. Wageni zaidi ya Mwenyekiti wake wa Taifaa na Katibu Mkuu wake na Kuaga "wahanga"? hilo ni la kujiuliza.

Ukitazama kwa juu juu utaona hayo si kama mambo ya kawaida, na ukiingia ndani kidooogo, utaona kuwa huo ni mpasuko na mtafuruku mkubwa ndani ya Chadema.

Wenye macho hawaambiwi tazama, na wenye masikio hawaambiwi...

Bartlett%20and%20Jakaya%20Mrisho%20Kikwete%20at%20Mystic%20Mountain.jpg
 
chama bora ni kile ambacho kinaziona kasoro zake na kuzifanyia kazi.

Hayo yoooote uliyoyasema kuhusu ccm hapa sio mahala pake, anzisha thread yake tutaijibu. Hapa tunaongelea mpasuko bdani ya chadema, kubali au kataa, upo.
zomba nlitaka kukuonesha kwamba palipo na demokrasia hakuna kusambaratika kinyume chake msambaratiko upo. Sihitaji thread nyingine maana hiyo ni mifano tu. Isitoshe wingi wa thread hausadii kuunganisha na kupendezesha mijadala! just be a greater thinker than us instead of being behind all the time!
 
Baada ya sakata la kususia hotuba ya Rais Bungeni na mpasuko uliojitokeza huko, hivi sasa kuna mambo kadhaa ya ndani ya Chadema yanayo ashiri kuisambaratisha Chadema.

1) Kususia Hotuba ya Rais

Hili limetuonyeshaa ni jinsi gani Chadema inavyoendeshwa bila muelekeo, wakati wabunge wao wengi wa-kisusia hotuba ya Rais wengine wengi walisusia shinikizo la Mwenyekiti wao na kuamuwa kuto ingia kabisa bungeni siku hiyo. N awengine tukawaona, usiku huo kwenye hafla ya Rais ilhali viongozi wa Chadema walishinikiza wabunge wa Chadema wote wasiende huko.

2) Kugombea vyeo na nafasi za upendeleo.

Tumeona sakata la nafasi za upendeleo haswa za ubunge jinsi zilivyoleta mvutano ndani ya Chadema na kufikia wana Chademaa wengine kuwachia ngazi, hii ni dalili tosha kuwa utawala wa ndani wa Chadema una mapungufu makubwa.

Tukaona pia jinsi Zitto alivyopigwa chini na Mwenyekiti wake katika kuwania nafasi ya uongozi wa upinzani bungeni. Hali kadhalika tukaona Zitto alivyosulubiwa mpaka kulazwa hiospitali na kupigwa marufuku na uongozo wa Chadema kuwa asiongee na vyombo vya habari kuhusu Chadema kwani yeye si msemaji wa Chadema.

3) Sakata la Arusha:

Tumeona jinsi wengi wa viongozi wa Chadema kutokuhudhuria kwenye maadamano yaliyoshinikizwa na kushadidiwa na viongozi wachache wa Chadema. Na pia tukaona mvutano mkubwa ukitokea katika kutumia maiti kama njia ya kujipatia umaarufu Chadema, ni viongozi wachache wa Chadema walihudhuria "kuaga miili ya marehemu" hao.

Tukaona kuwa hata Fundikira ambae ni Mwenyekiti wa Wenyeviti wa Chadema mkoani Arusha kukataa kuhudhuria muago huo, akisingizia kuwa alikuwa na wageni nyumbani kwake. Wageni zaidi ya Mwenyekiti wake wa Taifaa na Katibu Mkuu wake na Kuaga "wahanga"? hilo ni la kujiuliza.

Ukitazama kwa juu juu utaona hayo si kama mambo ya kawaida, na ukiingia ndani kidooogo, utaona kuwa huo ni mpasuko na mtafuruku mkubwa ndani ya Chadema.

Wenye macho hawaambiwi tazama, na wenye masikio hawaambiwi...

zomba ulitaka cdm yote ihamie Arusha au? Viongoz gani ulitaka wawepo zaidi ya m'kiti,katibu mkuu na wabunge wa chama? Soma sheria za bunge ndo utajua kwann cdm waliingia bungen kisha wakatoka wakati rais akihutubia! Porojo za ccm kuhusu udini ziliigharim cuf ila kwa cdm wamechemka! Kuhusu kuongoza kambi ya upinzani ni taratibu za chama,mbona ccm walimwaga sitta kwa mizengwe na husemi? Cdm ndo chama pinzani kwa sasa!
 
Baada ya sakata la kususia hotuba ya Rais Bungeni na mpasuko uliojitokeza huko, hivi sasa kuna mambo kadhaa ya ndani ya Chadema yanayo ashiri kuisambaratisha Chadema.

1) Kususia Hotuba ya Rais

Hili limetuonyeshaa ni jinsi gani Chadema inavyoendeshwa bila muelekeo, wakati wabunge wao wengi wa-kisusia hotuba ya Rais wengine wengi walisusia shinikizo la Mwenyekiti wao na kuamuwa kuto ingia kabisa bungeni siku hiyo. N awengine tukawaona, usiku huo kwenye hafla ya Rais ilhali viongozi wa Chadema walishinikiza wabunge wa Chadema wote wasiende huko.

2) Kugombea vyeo na nafasi za upendeleo.

Tumeona sakata la nafasi za upendeleo haswa za ubunge jinsi zilivyoleta mvutano ndani ya Chadema na kufikia wana Chademaa wengine kuwachia ngazi, hii ni dalili tosha kuwa utawala wa ndani wa Chadema una mapungufu makubwa.

Tukaona pia jinsi Zitto alivyopigwa chini na Mwenyekiti wake katika kuwania nafasi ya uongozi wa upinzani bungeni. Hali kadhalika tukaona Zitto alivyosulubiwa mpaka kulazwa hiospitali na kupigwa marufuku na uongozo wa Chadema kuwa asiongee na vyombo vya habari kuhusu Chadema kwani yeye si msemaji wa Chadema.

3) Sakata la Arusha:

Tumeona jinsi wengi wa viongozi wa Chadema kutokuhudhuria kwenye maadamano yaliyoshinikizwa na kushadidiwa na viongozi wachache wa Chadema. Na pia tukaona mvutano mkubwa ukitokea katika kutumia maiti kama njia ya kujipatia umaarufu Chadema, ni viongozi wachache wa Chadema walihudhuria "kuaga miili ya marehemu" hao.

Tukaona kuwa hata Fundikira ambae ni Mwenyekiti wa Wenyeviti wa Chadema mkoani Arusha kukataa kuhudhuria muago huo, akisingizia kuwa alikuwa na wageni nyumbani kwake. Wageni zaidi ya Mwenyekiti wake wa Taifaa na Katibu Mkuu wake na Kuaga "wahanga"? hilo ni la kujiuliza.

Ukitazama kwa juu juu utaona hayo si kama mambo ya kawaida, na ukiingia ndani kidooogo, utaona kuwa huo ni mpasuko na mtafuruku mkubwa ndani ya Chadema.

Wenye macho hawaambiwi tazama, na wenye masikio hawaambiwi...

Ni kweli lakini hayakuhusu. Changamoto hizo wala si mipasuko kwani wangapi wameondoka na wangapi wamejiunga? Ila fisi kunyemelea mkono wa binadamu udondoke ni dhahiri ni hapo basi utakapodondoka.
 
Tupo hapa ku-discuss Chadema, ya ccm funguwa thread nyingine tutakujibu.
Lakini mzee una uvumilivu sana sijui unalipwa ngapi kuhimili matusi yote hayo!!
Na ninadhani popote upitapo nzi wanakufuata maana unanuka **vi
 
hahahahaha kada wa serikali ovu na fisadi uwezi kubadilisha wananchi wakiamua na bado
 
Kama kweli kuna mijitu mijinga au mipumbavu humu jamii forum zomba a.k.a zumbukuku hakosi na ana kamatia namba moja katika nyanja hii!
 
Tatizo chadema hamtaki kutazama ukweli na kuona tatizo au matatizo yalivyo na kuyatafutuia njia za kuyarekebisha. Huwa mnabisha hata pasipo ubishi. Niambie ni lipi katika niliyoyataja hapo juu ambalo halijatokea.

Ili litusaidie nini mimi na wewe?
 
Baada ya sakata la kususia hotuba ya Rais Bungeni na mpasuko uliojitokeza huko, hivi sasa kuna mambo kadhaa ya ndani ya Chadema yanayo ashiri kuisambaratisha Chadema.

1) Kususia Hotuba ya Rais

Hili limetuonyeshaa ni jinsi gani Chadema inavyoendeshwa bila muelekeo, wakati wabunge wao wengi wa-kisusia hotuba ya Rais wengine wengi walisusia shinikizo la Mwenyekiti wao na kuamuwa kuto ingia kabisa bungeni siku hiyo. N awengine tukawaona, usiku huo kwenye hafla ya Rais ilhali viongozi wa Chadema walishinikiza wabunge wa Chadema wote wasiende huko.

2) Kugombea vyeo na nafasi za upendeleo.

Tumeona sakata la nafasi za upendeleo haswa za ubunge jinsi zilivyoleta mvutano ndani ya Chadema na kufikia wana Chademaa wengine kuwachia ngazi, hii ni dalili tosha kuwa utawala wa ndani wa Chadema una mapungufu makubwa.

Tukaona pia jinsi Zitto alivyopigwa chini na Mwenyekiti wake katika kuwania nafasi ya uongozi wa upinzani bungeni. Hali kadhalika tukaona Zitto alivyosulubiwa mpaka kulazwa hiospitali na kupigwa marufuku na uongozo wa Chadema kuwa asiongee na vyombo vya habari kuhusu Chadema kwani yeye si msemaji wa Chadema.

3) Sakata la Arusha:

Tumeona jinsi wengi wa viongozi wa Chadema kutokuhudhuria kwenye maadamano yaliyoshinikizwa na kushadidiwa na viongozi wachache wa Chadema. Na pia tukaona mvutano mkubwa ukitokea katika kutumia maiti kama njia ya kujipatia umaarufu Chadema, ni viongozi wachache wa Chadema walihudhuria "kuaga miili ya marehemu" hao.

Tukaona kuwa hata Fundikira ambae ni Mwenyekiti wa Wenyeviti wa Chadema mkoani Arusha kukataa kuhudhuria muago huo, akisingizia kuwa alikuwa na wageni nyumbani kwake. Wageni zaidi ya Mwenyekiti wake wa Taifaa na Katibu Mkuu wake na Kuaga "wahanga"? hilo ni la kujiuliza.

Ukitazama kwa juu juu utaona hayo si kama mambo ya kawaida, na ukiingia ndani kidooogo, utaona kuwa huo ni mpasuko na mtafuruku mkubwa ndani ya Chadema.

Wenye macho hawaambiwi tazama, na wenye masikio hawaambiwi...

ZOBA IN ACTION.......:ban:
 
....kuwe na mpasuko au kusiwe na mpasuko,,,,tunachojali ni maslahi ya wanachi kwanza,,,,,,laiti kama ungeacha hayo "mawazo mgando",,,Tanzania ingekuwa impepiga hatua kubwa sana kimaendeleo!
 
Back
Top Bottom