Mpasuko Chadema | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mpasuko Chadema

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by zomba, Jan 17, 2011.

 1. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #1
  Jan 17, 2011
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Baada ya sakata la kususia hotuba ya Rais Bungeni na mpasuko uliojitokeza huko, hivi sasa kuna mambo kadhaa ya ndani ya Chadema yanayo ashiri kuisambaratisha Chadema.

  1) Kususia Hotuba ya Rais

  Hili limetuonyeshaa ni jinsi gani Chadema inavyoendeshwa bila muelekeo, wakati wabunge wao wengi wa-kisusia hotuba ya Rais wengine wengi walisusia shinikizo la Mwenyekiti wao na kuamuwa kuto ingia kabisa bungeni siku hiyo. N awengine tukawaona, usiku huo kwenye hafla ya Rais ilhali viongozi wa Chadema walishinikiza wabunge wa Chadema wote wasiende huko.

  2) Kugombea vyeo na nafasi za upendeleo.

  Tumeona sakata la nafasi za upendeleo haswa za ubunge jinsi zilivyoleta mvutano ndani ya Chadema na kufikia wana Chademaa wengine kuwachia ngazi, hii ni dalili tosha kuwa utawala wa ndani wa Chadema una mapungufu makubwa.

  Tukaona pia jinsi Zitto alivyopigwa chini na Mwenyekiti wake katika kuwania nafasi ya uongozi wa upinzani bungeni. Hali kadhalika tukaona Zitto alivyosulubiwa mpaka kulazwa hiospitali na kupigwa marufuku na uongozo wa Chadema kuwa asiongee na vyombo vya habari kuhusu Chadema kwani yeye si msemaji wa Chadema.

  3) Sakata la Arusha:

  Tumeona jinsi wengi wa viongozi wa Chadema kutokuhudhuria kwenye maadamano yaliyoshinikizwa na kushadidiwa na viongozi wachache wa Chadema. Na pia tukaona mvutano mkubwa ukitokea katika kutumia maiti kama njia ya kujipatia umaarufu Chadema, ni viongozi wachache wa Chadema walihudhuria "kuaga miili ya marehemu" hao.

  Tukaona kuwa hata Fundikira ambae ni Mwenyekiti wa Wenyeviti wa Chadema mkoani Arusha kukataa kuhudhuria muago huo, akisingizia kuwa alikuwa na wageni nyumbani kwake. Wageni zaidi ya Mwenyekiti wake wa Taifaa na Katibu Mkuu wake na Kuaga "wahanga"? hilo ni la kujiuliza.

  Ukitazama kwa juu juu utaona hayo si kama mambo ya kawaida, na ukiingia ndani kidooogo, utaona kuwa huo ni mpasuko na mtafuruku mkubwa ndani ya Chadema.

  Wenye macho hawaambiwi tazama, na wenye masikio hawaambiwi...
   
 2. sulphadoxine

  sulphadoxine JF-Expert Member

  #2
  Jan 17, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,264
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Jitahidi angalau hata siku moja upost thread yenye maana,maana hizo pumba zimezidi.
   
 3. a

  arasululu Senior Member

  #3
  Jan 17, 2011
  Joined: May 13, 2010
  Messages: 135
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hayana ukweli wowote huo ni uchochezi!!! waliokutuma waambie umekuta chadema wamejipanga hukupewa nafasi!!:angel:
   
 4. Quinine

  Quinine JF-Expert Member

  #4
  Jan 17, 2011
  Joined: Jul 26, 2010
  Messages: 10,924
  Likes Received: 12,124
  Trophy Points: 280
  Chadema itawatesa sana hamlali?
   
 5. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #5
  Jan 17, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  CRAP!...
  System at work!
   
 6. Trustme

  Trustme JF-Expert Member

  #6
  Jan 17, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 1,172
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Zomba! au Zoba! Jukwaa hili mjukuu wangu halikufai
   
 7. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #7
  Jan 17, 2011
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Onyesha pumba moja katika hayo!
   
 8. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #8
  Jan 17, 2011
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Tatizo chadema hamtaki kutazama ukweli na kuona tatizo au matatizo yalivyo na kuyatafutuia njia za kuyarekebisha. Huwa mnabisha hata pasipo ubishi. Niambie ni lipi katika niliyoyataja hapo juu ambalo halijatokea.
   
 9. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #9
  Jan 17, 2011
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Indeed its crap, kaa ufikiri!
   
 10. Mtumishi Wetu

  Mtumishi Wetu JF-Expert Member

  #10
  Jan 17, 2011
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 4,986
  Likes Received: 427
  Trophy Points: 180
  Umelala nini ebu amka kumekucha, angalia jua usoni fungua macho uone, giza la SISISEM liosikumeze tetea nchi yako kijana !!!!!!!!!!!!
   
 11. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #11
  Jan 17, 2011
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Lbada ni makosa kuwaonyesha mapungufu? ambayo ni ya kweli tupu, watu wenye maana na mawazo wangema mnhhhh, huyu outsider kayaona haya, hebu tutazame namna ya kuyarekebisha.
   
 12. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #12
  Jan 17, 2011
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Kama Issa Shivji ni kijana basi nami nnajidai kwa huo ujana. Hayo nilyokuwekeeni hapo juu, ni baadhi ya mambo, na sijaona hata mmoja akija na jibu la kusema aahh hapa Zomba umekosea haikuwa hivyo ilikuwa hivi na hivi. Hakuna!
   
 13. Saharavoice

  Saharavoice JF-Expert Member

  #13
  Jan 17, 2011
  Joined: Aug 30, 2007
  Messages: 2,644
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Inakusaidia nini?
  Waambie wakuongezee posho, maana unajitahidi sana.
   
 14. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #14
  Jan 17, 2011
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Inanisaidia kukuza Demokrasia Tanzania.
   
 15. NewDawnTz

  NewDawnTz JF-Expert Member

  #15
  Jan 17, 2011
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 1,675
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  :Cry:
  zomba...........................................System At Work
   
 16. N

  Ngonini JF-Expert Member

  #16
  Jan 17, 2011
  Joined: Sep 1, 2010
  Messages: 2,024
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Huo ni mtazano wako wa kiccm, chadema haitayumbishwa na chochote maana ni chama cha nguvu ya umma. chadema ni watanzania wote wenye upeo usijeukajindanganya chadema ni mbowe,slaa,zitto,mnyika nk. Chadema ni chama cha nguvu ya umma hakuna anayeweza kuua chadema kama kiongozi hatakama wataondoka viongozi wote waliopo sasa bado kitaendelea kundunda maana kimeshika mizizi kwa wananchi.
   
 17. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #17
  Jan 17, 2011
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Hao Chadema nguvu ya umma ndio hiyo niliyoieleza? mie naona ni nguvu ya wachache, hebu soma vizuri niliyoandika halafu useme hili silo.
   
 18. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #18
  Jan 17, 2011
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Indeed it is.
   
 19. f

  fnacc Member

  #19
  Jan 17, 2011
  Joined: Dec 9, 2010
  Messages: 27
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Hizo ni challenge ndogondogo ktk uongozi na wala sio hatari hata kidogo...for Gold to be Gold then it must pass through furnace,hizo challenge zitatufanya tuwe strong zaidi na zaidi.
   
 20. bluetooth

  bluetooth JF-Expert Member

  #20
  Jan 17, 2011
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 3,935
  Likes Received: 672
  Trophy Points: 280
  .

  zomba..., habari ya asubuhi... naona umetoka mashine kusaga mahindi
   
Loading...