Mpasuko Chadema

Wenzenu Arusha wamedanganywa na kina Slaa huko wakala mkong'oto wengine wakajifia bure bila faida, kisa nini? kudanganywa! halafu, hooo sie hatudanganyiki.

Who else can be happy when innocent human beings are dying? Answer:Satan
 
Baada ya sakata la kususia hotuba ya Rais Bungeni na mpasuko uliojitokeza huko, hivi sasa kuna mambo kadhaa ya ndani ya Chadema yanayo ashiri kuisambaratisha Chadema.

...

Mtu kama wewe ambae ni mfu (Zombie) huwezi kujua chochote ndani ya Chadema kwa hiyo labda unaongelea mpasuko wa chama chako
 
Niliposoma signature, nikaelewa kila kitu: System At Work

Wewe hii ushaiona?
kYaA4uWGxgrpzp47wMgGTVuAo1_400.jpg


98% of Rome’s Priests Are Gay

https://www.jamiiforums.com/dini-imani/103694-98%25-of-rome%92s-priests-are-gay.html
 
1) Kususia Hotuba ya Rais

Hili limetuonyeshaa ni jinsi gani Chadema inavyoendeshwa bila muelekeo, wakati wabunge wao wengi wa-kisusia hotuba ya Rais wengine wengi walisusia shinikizo la Mwenyekiti wao na kuamuwa kuto ingia kabisa bungeni siku hiyo. N awengine tukawaona, usiku huo kwenye hafla ya Rais ilhali viongozi wa Chadema walishinikiza wabunge wa Chadema wote wasiende huko.

...

Hukufunzwa kiswahili fasaha na yule pepo mkuu? kuonyesha ama kuonesha? Chadema ni chama cha kidemokrasia waambie chama chako waige jinsi ya kupiga kura kutafuta ufumbuzi. Chama sio familia hivyo mawazo ya watu yanaheshimiwa kwa njia inayofaa.Kule kwenu mmezoea mizengwe, uhuni na rushwa kama mlivyowafanyia kina Bashe,Sitta, na wengineo wengi.Ulikuwepo ili uthibitishe walishinikizwa wasiende kwenye hafla au ulevi wako unakusumbua?
 
Your arguments are unsubstantiable. Hata kama ingekuwa syllogistic argument it remains to be INVALID and NOT SOUND.

Au ulipenda tu kutumia neno MPASUKO?
 
Back
Top Bottom