Mpasuko CHADEMA, Nini kifanyike?

Nadhani heshima ya Kamanda Mbowe haijashuka kwa yeye kumpisha Slaa.Kwanza ameweza kupata heshima zaidi kwa kuonyesha nia yake ya dhati ya kukijenga chama.

Hoja ulizozileta hapa jamvini ni majungu

Kwanza, lazima tuache ushabiki tu lazima tuangalie nini tunataka lakini Suala la kumtaka Mtu tu basi ni kana kwamba lazima awe yeye Rais litawacost Chama na itafikia mahali watu watashindwa kufanya maaamuzi Sahihi kwa sababu ya mapenzi ya kupitiliza na greediness

Hakuna Kosa Mbowe hata Zito kugombea Urais Kwani sina uhakika na Umri wa Dr ila napata tabu kuamini Kama miaka yake Itakua Sahihi kwa yeye kuendelea kushikilia lazima yeye awe mgombea.

Na nitashangaa Kama yeye mwenyewe Dr Slaa atakua bado anatamaa ya kua Rais na Kama Hilo lipo basi asishangae akapata tabu na pia atavunjiwa heshima na wakina Mbowe , Zito na Lissu Kwani kwa muono wangu watu Kama Tundu na Zitto Kwani wako Objective oriented than fanatical .


Na watu wengi tunaweza tukaona Kama vile wanahasi lakini kuna uwezekano mkubwa haya yakatokea Kwani michango inyoonekana kwa Tundu na Zitto inamashiko Zaidi kuliko ilivyo kwa Dr slaa na Mbowe.

Kwahiyo Kama tunashabikia Mtu Slaa anafaa lakini Kama tunataka uhalisia basi vijana wapewe nafasi......


Isije ikawa Kama Rais Abdealahi WADE
 
Hakuna haja ya kuendelea kuchangia humu JF kwa porojo za aina hii. Nadhani si busara hata kwa viongozi wa CDM kujiingiza katika malumbano na mtandao wa kifisadi unaotaka kuzusha migogoro ndani ya chama. Kila mtu awe makini na anachotaka kusema, kazi ya kuimarisha chama inaendelea.
 
Naona doom-mongers mmeanza kazi. Jipeni moyo, msijali "CDM haina muda mrefu, kabla ya 2014 itakuwa historia".
 
mpasuka mkubwa kuhusu nani anapswa kuandaliwa kugombea urai kati ya mwenyekiti mbowe na katibu dr slaa

Sijaelewa hapo kwenye red..
 
Mnajisumbua maagent wa magamba!Hakuna uroho wa madaraka CDM ila demokrasia yny ushndan wa kawaida, toeni maujinga YENU YA KUWAGAWA WA2 HAPA!Dr. Slaa chukua ushaur wa Waberoya hapo juu FUNGA KAZI!
 
Mh Mbowe alishakataa kupitia vyombo vya habari kwamba Chadema hakuna mbio za urais hata hivyo kuna makala moja ya mwanahalisi iliwahi kusema kuna mbunge mmoja ndani ya Chadema akishirikiana na Mhariri wa Gazeti fulani wakipanga mkakati mzito wa kuanzisha zengwe ili ionekane Chadema nao wanagombana kuwania urais kama ilivyo kwa Chama cha mafisadi CCM
 
Mkuu mimi sitakulaumu sana wala hata kama Dr Kitila amesema hivyo pia sitashangaa maana hii haita kuwa mara ya kwanza CDM kuwa na "mpasuko" wa kugombea uongozi.

Kwa mara ya kwanza kabisa kwenye harakati za kugombea uenyekiti wa CDM, viongozi na wazee wa CDM walikuja na tafsiri mpya ya neno "mpasuko" kubaka demokrasia, hivyo basi nadhani ni sahihi pia kuita huu ni mpasuko

Katika hali ya kawaida huu huwezi kuita huu ni mpasuko, demokrasia maana yake ni ushindani wa haki wa kuchagua na kuchaguliwa.......kama hamna ushindani kwa baadhi tu ya watu kuamua fulani wa kuchaguliwa kunakuwa kunakiuka misingi ya demokrasia

Inawezekana sasa kwa nje mambo ni shwari, lakini huko ndani kwa wenye chama na wanao amua nani anafaa na wanao amua nani atoe jina ili kuepuka "mpasuko" sasa wako kwenye dilema waamue nani watamchagua kupeperusha bendera ya CDM hapo baadae

Lakini kama mambo yangekuwa wazi, ni swala la kuchukua form na michakato mingine kama kawaida sidhani kama kungekuwa na hisia hizi za mipasuko

Lakini kwa kawaida tunajua CDM kwenye nafasi ya ugombe uraisi huwa hakunaga kwere sana, na kuna sababu.......
Uhakika wa kuupata huo Urais ilikuwa ni kazi pevu
So kugombea urais kulikuwa kuna maanisha kukosa yote, yaani ubunge na urais kama ilivyokuwa kwa Dr ambaye "aliombwa" na aliposhindwa aliishia kupewa fidia kwa kupandishiwa mshahara na marupurupu kufikia mshahara wa ubunge aliokosa

Hivyo basi inawezekana upepo umebadilika, possibility ya kuukwaa upresident imekuwa kubwa na kupelekea kukawa na mshike mshike kuitaka nafasi hiyo na sio "kuombwa" tena.

Binafsi sipendi kutumia neno mpasuko kumaanisha mchuano au ushindani nk wa kugombea nafasi mbali mbali za uongozi, kama kweli Dr Slaa na Mbowe wanajiandalia mazingira ya kuitaka nafasi hiyo hii ndio demokrasia na si mpasuko, ingawa pia naona bado mapema sana, vinginevyo huu ni uzushi

 
kwa maoni yangu ili kuimarisha demokrasia ndani ya chama,ni vyema agombee mtu mwingine ambaye hajawahi kugombea.

angalia mfano wa wagombea wa kudumu wa vyama vingine walivoporomoka pamoja na kuviporomosha vyama vyao
 
Sasa hapo mpasuko upo wapi?, mi naona hiyo ni Demokrasia tu, chama akiwezi kuwa na mtu mmoja tu lazima kuwe na watu zaidi ya mmoja ndipo demokrasia ya kweli inapatikana

huo mpasuko ni wewe KIM unaufanya uonekane waakti hakuna kitu
 

Mkuu unapata faida gani kuleta umbeya hapa jamvini.Kwanini usijishughulishe na mambo ya chama chako unahangaika na CDM? Kwanini hujiulizi chama chako kinakataliwa kila mahali unabaki kuhangaika na CDM? Kwanini huoni chama chako kinashindwa Arumeru kwa siasa za maji taka unahangaika na CDM? Mkuu unalipwa shilingi ngapi kuleta ushenzi kama huu hapa jamvini?
 
Mkuu wewe ndiye uliyekuwa London na Dr. Mkumbo wakati anasema hayo maneno?

Huyo dr mkumbo kwa nini aseme hilo akiwa nje ya nchi? Basi watuwekee video clip YouTube ?? Hapa pana uhuni ama wanamzushia / hawakumwelea in context au ni kampeni za cuf/ccm wanandoa kuhakikisha wanampata raisi wanaemtaka preferably mvaa kibarakashia, angalia hiyo list iliyopendekezwa ya wagombea wastahili wa urais cdm
 
si Mbowe wala Slaa anayefaa kuwa Rais wa Nchi hii labda kwa upinzani mngemsimamisha Lipumba huyu ana sifa za kuwa Rais.

soma thread uielewe, ndio utoe comment, may be Lipumba kama amehamia CDM then uko sahihi.
 
mpasuko uko mkubWa wakane wasikane upo.na tatizo lake hakuna demokokrasia ndani ya chama pia hakuna maendeleo yoyote ya chama.viongozi muikoani hupewa maagizo with the so called first lady mshumbuzo.huo ni uendeshaji wa chama?
 
Naamini mtoa mada ni sehemu ya Magamba. He wants to divert our attention on sensitive issues in our party! Namna alivoiweka "Heading" yake na maelezo, havioani kabisa. CDM huwa hamna mawazo mgando ya kufikiria "Vyeo na Madaraka".
Our attention is on peoples problems and how so alleviate or get a permanent solution through PEOPLES POWER!!. Tafadhali usijaribu kupotosha umma wa Watanzania juu ya CDM. Magambbaandio wenye vita ya Urais na sio CDM!!!
 

Waberoya,Bravo comrade!

Huu ni ushauri mzuri sana. Hata hivyo naomba nitofautiane na wewe hapo unapomtaka Dr.slaa aanze kufanana na Morgan Tsavangirai(I hope unamaanisha huyu wa chama kikuu cha upinzani Zimbabwe-MDC).Tanzania na Africa haihitaji tena kiongozi wa upinzani au chama tawala wa aina ya Morgan Tsavangirai anyetumiwa na mabeberu kwa hasara za waafrika na kwa fauda za mabeberu.Hatuna kipya cha kujifunza kutoka kwa vibaraka wa aina hii,natambua siyo MDC yote imeoza kwa kuwa kuna wana halisi wa Africa kama akina Tendai Biti lakini please usimshauri Dr.Slaa au kiongozi yeyote ndani ya chadema kufanana na Morgan Tsavangirai

Hapo kwa Raila Amolo Odinga sawa,hatua tuliyofikia ku-deal na rogue party kama CCM we must resort to a militant politics...I hope unamaanisha hivi.Hapo sikupingi

Isipokuwa,Ushauri wa kutaka afanane na Morgan Tsavangirai adui wa Afrika na kibaraka asiye na Aibu(sorry,nimesema bila kujali itifaki za kidiplomasia) sikubaliani na ushauri huu mkuu.Hatutaki Tanzania iwe na transition itakayotuletea matunda hasi,we must focus on our people's interest and African continent at Large(Pan Africanism)

I cant beleive that you can actually say that we africans have a lot to learn from Europeans who invaded our continent, enslaved us, destroyed our continent, brainwashed us with religions that they themselves do not even believe in,destroyed our culture , replaced our indigenous languages(Hata mie ni mhanga wa hilo kwa kutumia lugha ya kigeni) with theirs and degraded and dehumanised us

Are these the type of people that you want to learn from? You want to learn from someone who hates you and continues to do everything on this planet to ensure that you remain as an inferior being.

Here are just a few atrocities that European and American idols(under the patron of some few African Puppets) are currently comitting on the African continent

Mobilising a military force known as Africom in order to recolonise your entire continent overthrowing or assassinating any nationalist african leaders who try to mobilise the people against their puppets using debt slavery courtesy of the IMF and the world bank to reduce Africans to beggars in their own country arming, funding and training rebel groups to overthrow legitimate nationalist African leaders who refuse to hand over their economies to the IMF and world bank using their media to brainwash young Africans into accepting western cultural values and ideologies in order to neutralise any feelings of Nationalism and make them gullible docile zombies who accept western domination.

Using their media to make young Africans reject their own cultures, look down on their own people and aspire to be more like Europeans and Americans.Funding, arming and training BOTH SIDES in military conflicts in resource rich regions of Africa in order to:
plunge the entire country into chaos

Create an environment that will allow them to sneak in and keep stealing the resources in the midst of the chaos without any challenge facilitate mass genocide and population depletion of those areas the bottom line is they want to plunge the entire African continent into a state of chaos, war, famine, economic collapse in order to make it easier for them to make off with every valuable natural resource that the continent has UNCHALLENGED.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…