Mpasuko CCM, Kingunge, Nchimbi na Mwandosya kutimka

Mpasuko CCM, Kingunge, Nchimbi na Mwandosya kutimka

Karibu sana prof mwandosya nina imani jimbo la busokelo sasa ni la chadema kwa jns wananchi wako wanavyokupenda lazima watakufuata....nimefurahi sana kuthibitishiwa hii taarifa kwamba prof anahamia chadema ndio maana hata ubunge hajagombea ccm!
 
Jamaa muhuni kweli anasubiri mafuriko jagwani sijui yataanzia wapi.

Jk alisha wapa tahadhali kuwa wana ccm mjiandae kisaikolojia maana alisha gundua kuwa ccm mwaka huu hamna kiongozi anaye uzika kwa watanzania.
 
Huko wameishakuja kwa siri Naziri Karamagi, Andrew Chenge na Rostam Azizi na wezi wengine ambao ndio waliochanga Billion 12 zilizotumika kununua nafasi ya urais Chadema.Hao ndio wenye ubia wa urais wa Lowassa, akipata Lowassa wamepata wao.

Vipi kuhusu ile cd ya zzk kuwa lowasa anahamia act mwandiga?
 
naona lile zimwi la kukatwa EL linazidi kuitafuna ccm vibaya
 
Pia mimi nimejulishwa jana na mmoja wa 'waratibu' wa kampeni ya Lowassa ya kwamba Kingunge atakihama chama mapema, ikiwezekana ndani ya wiki hii, ili kumuunga mkono EL. Tusubiri

Hii habari ni ya ukweli kabisa,tusubiri muda wowote kuona anguko rasmi la ccm
 
Back
Top Bottom