Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 123,250
- 98,243
Daaaah safari ya matumaini imefika watoke tu kwani Ccm ndio baba hao au mama hao
Sasa tunaisahau kabisa ccm na kubakia na cdm
Daaaah safari ya matumaini imefika watoke tu kwani Ccm ndio baba hao au mama hao
Aliwezi pona kwa kuwaweka walewale waliokuwepo kwenye mfumo uleule
Impact ya kingunge na mwqndosya ni ipi ktk siasa za sasa hivi,hao walishajichokea hawana jipya,huyi nchimbi mwenyewe hana jipya na asitegemee kulichukua jimbo la songea mjini alilijua hilo kwamba hawezi kupenya kura za maoni ndo maana akakataa kuchukua fomu
Nape amekwenda kujisalimisha mwenye ubunge baada ya kuona kila kitu kikiteleza
Katika hali inayozidi kudhihirisha anguko kubwa la chama kilichoitawala nchi yetu kwa zaidi ya nusu karne, magwiji wa siasa ndani ya chama hicho wanazidi kutimka.
The lates ni kuwa Professor Mark Mwandosya ambaye ni waziri katika serikali hii ya ccm na aliyekuwa mgombea urais kwa hatua za mwanzo ndani ya chama hicho, anahamia Chadema.
Waziri huyo ambaye hakusita kuuponda mfumo mbovu wa kupitishwa majina ya wagombea na kamati za maamuzi ya chama chake inasemekana ndani ya majuma mawili haya atatimkia Chadema.
Aidha, mkongwe na gwiji wa siasa nchini Kingunge Ngombale Mwilu ambaye hakuficha hisia na maoni yake ju ya dhurma alizofanyiwa Edward Lowassa na CCM ana mpango wa kutimkia chama cha wananchi CUF mapema wiki hili.
Kama hiyo haitoshi, waziri wa zamani wa Mambo ya ndani ndg Emmanuel Nchimbi anatimkia CUF na kuwa mgombea wa jimbo la Songea Mjini kupitia chama hicho.
Zaidi tutaendelea kujuzana
Source ya tetesi ni ipi?

Watajuta kumkata "Mzee".
Kama ni Mwandosya sawa lakini Kingunge akili ilishazeeka
Apumzike tu
Hizi tetesi zinatuvurugia sana hapa Lumumba, huu mwaka usiogawanyika kwa mbili haufai kabisa.
Katika hali inayozidi kudhihirisha anguko kubwa la chama kilichoitawala nchi yetu kwa zaidi ya nusu karne, magwiji wa siasa ndani ya chama hicho wanazidi kutimka.
The lates ni kuwa Professor Mark Mwandosya ambaye ni waziri katika serikali hii ya ccm na aliyekuwa mgombea urais kwa hatua za mwanzo ndani ya chama hicho, anahamia Chadema.
Waziri huyo ambaye hakusita kuuponda mfumo mbovu wa kupitishwa majina ya wagombea na kamati za maamuzi ya chama chake inasemekana ndani ya majuma mawili haya atatimkia Chadema.
Aidha, mkongwe na gwiji wa siasa nchini Kingunge Ngombale Mwilu ambaye hakuficha hisia na maoni yake ju ya dhurma alizofanyiwa Edward Lowassa na CCM ana mpango wa kutimkia chama cha wananchi CUF mapema wiki hili.
Kama hiyo haitoshi, waziri wa zamani wa Mambo ya ndani ndg Emmanuel Nchimbi anatimkia CUF na kuwa mgombea wa jimbo la Songea Mjini kupitia chama hicho.
Zaidi tutaendelea kujuzana
Mkuu unaishi nchi gani? Kwani mafuriko ya Dar hutokea wapi?