Mpasuko CCM, Kingunge, Nchimbi na Mwandosya kutimka

Jamaa muhuni kweli anasubiri mafuriko jagwani sijui yataanzia wapi.

Hivi wewe kwa akili zako kabisa unategemea bashe na serukamba wakienda kwenye sanduku la kupigia kura watamchagua magufuli???wamtose ENL...utakuwa mwehu basi!
 
Katika hali inayozidi kudhihirisha anguko kubwa la chama kilichoitawala nchi yetu kwa zaidi ya nusu karne, magwiji wa siasa ndani ya chama hicho wanazidi kutimka.

The lates ni kuwa Professor Mark Mwandosya ambaye ni waziri katika serikali hii ya ccm na aliyekuwa mgombea urais kwa hatua za mwanzo ndani ya chama hicho, anahamia Chadema.

Waziri huyo ambaye hakusita kuuponda mfumo mbovu wa kupitishwa majina ya wagombea na kamati za maamuzi ya chama chake inasemekana ndani ya majuma mawili haya atatimkia Chadema.

Aidha, mkongwe na gwiji wa siasa nchini Kingunge Ngombale Mwilu ambaye hakuficha hisia na maoni yake ju ya dhurma alizofanyiwa Edward Lowassa na CCM ana mpango wa kutimkia chama cha wananchi CUF mapema wiki hili.

Kama hiyo haitoshi, waziri wa zamani wa Mambo ya ndani ndg Emmanuel Nchimbi anatimkia CUF na kuwa mgombea wa jimbo la Songea Mjini kupitia chama hicho.

Zaidi tutaendelea kujuzana

Source ya tetesi ni ipi?
 
membeeeeeeeeeeeeeeeeeee! ana angua korosho hana hamu na chama cha mapinduzi.
 
kwa jina la baba nala mwana nala Roho mtakatifu .... aaaaaameeeeen
 
Pia mimi nimejulishwa jana na mmoja wa 'waratibu' wa kampeni ya Lowassa ya kwamba Kingunge atakihama chama mapema, ikiwezekana ndani ya wiki hii, ili kumuunga mkono EL. Tusubiri

Mbona amechelewa hivyo? Anajaribu kina cha maji.
 
Katika hali inayozidi kudhihirisha anguko kubwa la chama kilichoitawala nchi yetu kwa zaidi ya nusu karne, magwiji wa siasa ndani ya chama hicho wanazidi kutimka.

The lates ni kuwa Professor Mark Mwandosya ambaye ni waziri katika serikali hii ya ccm na aliyekuwa mgombea urais kwa hatua za mwanzo ndani ya chama hicho, anahamia Chadema.

Waziri huyo ambaye hakusita kuuponda mfumo mbovu wa kupitishwa majina ya wagombea na kamati za maamuzi ya chama chake inasemekana ndani ya majuma mawili haya atatimkia Chadema.

Aidha, mkongwe na gwiji wa siasa nchini Kingunge Ngombale Mwilu ambaye hakuficha hisia na maoni yake ju ya dhurma alizofanyiwa Edward Lowassa na CCM ana mpango wa kutimkia chama cha wananchi CUF mapema wiki hili.

Kama hiyo haitoshi, waziri wa zamani wa Mambo ya ndani ndg Emmanuel Nchimbi anatimkia CUF na kuwa mgombea wa jimbo la Songea Mjini kupitia chama hicho.

Zaidi tutaendelea kujuzana

Waondoke wote wabaki wale wenye mapenzi mema na nchi hii uone kama nchi itayumba. Waliovua magamba na kujisitiri na magwanda hawana namna maana jua linawachoma zaidi ya ngozi iliyoathirika na mkorogo.
 
Kamakweli mzee kingunge.na nchimbi .tuna wakalibisha ulingo wamabadiliki .
 
Katika hali inayozidi kudhihirisha anguko kubwa la chama kilichoitawala nchi yetu kwa zaidi ya nusu karne, magwiji wa siasa ndani ya chama hicho wanazidi kutimka.

The lates ni kuwa Professor Mark Mwandosya ambaye ni waziri katika serikali hii ya ccm na aliyekuwa mgombea urais kwa hatua za mwanzo ndani ya chama hicho, anahamia Chadema.

Waziri huyo ambaye hakusita kuuponda mfumo mbovu wa kupitishwa majina ya wagombea na kamati za maamuzi ya chama chake inasemekana ndani ya majuma mawili haya atatimkia Chadema.

Aidha, mkongwe na gwiji wa siasa nchini Kingunge Ngombale Mwilu ambaye hakuficha hisia na maoni yake ju ya dhurma alizofanyiwa Edward Lowassa na CCM ana mpango wa kutimkia chama cha wananchi CUF mapema wiki hili.

Kama hiyo haitoshi, waziri wa zamani wa Mambo ya ndani ndg Emmanuel Nchimbi anatimkia CUF na kuwa mgombea wa jimbo la Songea Mjini kupitia chama hicho.

Zaidi tutaendelea kujuzana
Mwandosya kuondoka CCM is a pipe dream!
 
Hii iko poa sana
 
Tunashukuru sana kwa kutupatia hii habari ya jinamizi ndani ya ccm,naamini sasa ndio inazikwa rasmi maana hao wakongwe wakihama ndio basi tena.
 
Sasa kama wapambe wake tu Bashe na Serukamba wamegoma kumfuata Lowassa Chadema ndio unatarajia wapinzani wake kama Mwondosya wamfuate?endeleeni kusubiria mafuriko ambayo hayapo.

Ni yale yale ya fisi kumfuata binadamu akidhani mkono unataka kunyofoka.

Nawe endelea kujipa matumaini angalau,ila ujue kuwa lowasa ndio rais wako wa Tanzania kuanzia mwezi novemba baada ya kuapishwa
 
Back
Top Bottom