Chumchang Changchum
JF-Expert Member
- Nov 1, 2013
- 6,151
- 6,449
Subiri yatimie nasi tuwajue vzr...
!..... ... .. mna andika lakini !?
Jamaa muhuni kweli anasubiri mafuriko jagwani sijui yataanzia wapi.
Jamaa muhuni kweli anasubiri mafuriko jangwani sijui yataanzia wapi.
Mpiganaji mahiri ni yule ambae yuko ndani ambae anatoa siri zote muhimu zinazosaidia kumwangamiza adui bila huruma.Sasa kama wapambe wake tu Bashe na Serukamba wamegoma kumfuata Lowassa Chadema ndio unatarajia wapinzani wake kama Mwondosya wamfuate?endeleeni kusubiria mafuriko ambayo hayapo.
Ni yale yale ya fisi kumfuata binadamu akidhani mkono unataka kunyofoka.
Wote na wahame tu, CCM wabaki nape,baba riz na rizwenyewe.
Katika hali inayozidi kudhihirisha anguko kubwa la chama kilichoitawala nchi yetu kwa zaidi ya nusu karne, magwiji wa siasa ndani ya chama hicho wanazidi kutimka.
The lates ni kuwa Professor Mark Mwandosya ambaye ni waziri katika serikali hii ya ccm na aliyekuwa mgombea urais kwa hatua za mwanzo ndani ya chama hicho, anahamia Chadema.
Waziri huyo ambaye hakusita kuuponda mfumo mbovu wa kupitishwa majina ya wagombea na kamati za maamuzi ya chama chake inasemekana ndani ya majuma mawili haya atatimkia Chadema.
Aidha, mkongwe na gwiji wa siasa nchini Kingunge Ngombale Mwilu ambaye hakuficha hisia na maoni yake ju ya dhurma alizofanyiwa Eduard Lowassa na ccm ana mpango wa kutimkia chama cha wananchi Cuf mapema wiki hili.
Kama hiyo haitoshi, waziri wa zamani wa Mambo ya ndani ndg Emmanuel Nchimbi anatimkia cuf na kuwa mgombea wa jmbo la Songea Mjini kupitia chama hicho.
Zaidi tutaendelea kujuzana
Mpiganaji mahiri ni yule ambae yuko ndani ambae anatoa siri zote muhimu zinazosaidia kumwangamiza adui bila huruma.
Lizaboni ndugu yako mwingine huyu hapaKatika hali inayozidi kudhihirisha anguko kubwa la chama kilichoitawala nchi yetu kwa zaidi ya nusu karne, magwiji wa siasa ndani ya chama hicho wanazidi kutimka.
The lates ni kuwa Professor Mark Mwandosya ambaye ni waziri katika serikali hii ya ccm na aliyekuwa mgombea urais kwa hatua za mwanzo ndani ya chama hicho, anahamia Chadema.
Waziri huyo ambaye hakusita kuuponda mfumo mbovu wa kupitishwa majina ya wagombea na kamati za maamuzi ya chama chake inasemekana ndani ya majuma mawili haya atatimkia Chadema.
Aidha, mkongwe na gwiji wa siasa nchini Kingunge Ngombale Mwilu ambaye hakuficha hisia na maoni yake ju ya dhurma alizofanyiwa Eduard Lowassa na ccm ana mpango wa kutimkia chama cha wananchi Cuf mapema wiki hili.
Kama hiyo haitoshi, waziri wa zamani wa Mambo ya ndani ndg Emmanuel Nchimbi anatimkia cuf na kuwa mgombea wa jmbo la Songea Mjini kupitia chama hicho.
Zaidi tutaendelea kujuzana
Hakuna hata unachojua inabidi uhurumiwe tu.