Mpasuko CCM, Kingunge, Nchimbi na Mwandosya kutimka

Sasa kama wapambe wake tu Bashe na Serukamba wamegoma kumfuata Lowassa Chadema ndio unatarajia wapinzani wake kama Mwondosya wamfuate?endeleeni kusubiria mafuriko ambayo hayapo.

Ni yale yale ya fisi kumfuata binadamu akidhani mkono unataka kunyofoka.

Aliekudanganya kumuunga mkono Lowasa ni lazima kuhama chama huyo ndo aliekudanganya.
 
Sasa kama wapambe wake tu Bashe na Serukamba wamegoma kumfuata Lowassa Chadema ndio unatarajia wapinzani wake kama Mwondosya wamfuate?endeleeni kusubiria mafuriko ambayo hayapo.

Ni yale yale ya fisi kumfuata binadamu akidhani mkono unataka kunyofoka.

Hao waliobaku sisiem ndiyo watatusaidia kuwang'oa kirahisi
 
sio lazima wote waje...wengine wabaki tu huko huko wana msaada mkubwa mkubwa kwetu.
 
waje CHADEMA Kwani siku hizi ndio Kichaka cha makapi kutoka CCM Magamba
 
Sasa kama wapambe wake tu Bashe na Serukamba wamegoma kumfuata Lowassa Chadema ndio unatarajia wapinzani wake kama Mwondosya wamfuate?endeleeni kusubiria mafuriko ambayo hayapo.

Ni yale yale ya fisi kumfuata binadamu akidhani mkono unataka kunyofoka.

Hao uliowataja kwa lugha ya kijasusi tunawaita Double Agents
 
Nawashangaa mbona hawatimkii ACT?Wanapend vya dezo sana hawa eh.
 
Back
Top Bottom