Mpasuko CCM, Kingunge, Nchimbi na Mwandosya kutimka

Mpasuko CCM, Kingunge, Nchimbi na Mwandosya kutimka

Sasa kama wapambe wake tu Bashe na Serukamba wamegoma kumfuata Lowassa Chadema ndio unatarajia wapinzani wake kama Mwondosya wamfuate?endeleeni kusubiria mafuriko ambayo hayapo.

Ni yale yale ya fisi kumfuata binadamu akidhani mkono unataka kunyofoka.

Mkuu hao waliobaki CCM ni watu hatari zaidi kwa uhai wa CCM
 
Back
Top Bottom