Mpasuko CCM, Kingunge, Nchimbi na Mwandosya kutimka

Mpasuko CCM, Kingunge, Nchimbi na Mwandosya kutimka

Tunawakaribisha sana lkn wanapokuja huku wajue mapema kuwa huku mifumo ni tofauti kabisa😱
 
Mi naona ccm ndo inasafiki ili mzee wa maglas wine aongoze vizuri....magamba yanaondoka hayo
 
Katika hali inayozidi kudhihirisha anguko kubwa la chama kilichoitawala nchi yetu kwa zaidi ya nusu karne, magwiji wa siasa ndani ya chama hicho wanazidi kutimka.

The lates ni kuwa Professor Mark Mwandosya ambaye ni waziri katika serikali hii ya ccm na aliyekuwa mgombea urais kwa hatua za mwanzo ndani ya chama hicho, anahamia Chadema.

Waziri huyo ambaye hakusita kuuponda mfumo mbovu wa kupitishwa majina ya wagombea na kamati za maamuzi ya chama chake inasemekana ndani ya majuma mawili haya atatimkia Chadema.

Aidha, mkongwe na gwiji wa siasa nchini Kingunge Ngombale Mwilu ambaye hakuficha hisia na maoni yake ju ya dhurma alizofanyiwa Edward Lowassa na CCM ana mpango wa kutimkia chama cha wananchi CUF mapema wiki hili.

Kama hiyo haitoshi, waziri wa zamani wa Mambo ya ndani ndg Emmanuel Nchimbi anatimkia CUF na kuwa mgombea wa jimbo la Songea Mjini kupitia chama hicho.

Zaidi tutaendelea kujuzana

Kweli hizi tetesi
 
Jamaa muhuni kweli anasubiri mafuriko jagwani sijui yataanzia wapi.

Wewe unaishi wapi? Unauliza jangwani hii hii ya Dar Es Salaam ambayo kila masika mnahamisha watu? Au Jangwani ipi?
 
kwa jinsi hali ya kutaka mabadiliko ilivyo kubwa lazima kila mwenye hamu ya mabadiliko lazima aame ccm maana mabadiliko hayawezi kupatikana ndani ya ccm
 
Mtikisiko ni mkubwa sana wakuu. Hizi za akina Makongoro ni easharasha tuu.
 
Na mm Nahamia Chadema maana naweza nikaja kujikuta nimebaki mimi na wanakitengo Tu.
 
lisemwalo lipo banandugu km halipo basi linakuja
 
Tusijifariji Mkuu Sema Umewasilisha Hisia Zako
 
Hao wanaotimukia chadema ni kwamba wamekosa nafasi za kuteuliwa kwenye majimbo yao, ss imekuwa kama fasion, wanaondoka kama wao wenyewe, ss mm nataka kuamini kwamba ss ccm itakuwa safi baada ya magamba kujivua yenyewe naamini Makufuri ataivusha hii nchi salama. Pia Mwl. aliwahi kusema kwamba, angependa ccm igawanyike mara mbili maana yake ilikuwa kwamba, chama kikaa muda mrefu kinajisahau sana, kinapokuwepo chama kikubwa pia kitakuwa kinakitisha tisha hivi ili mambo yakae vizuri, nafhani ndo muda huu kwa sasa. Na pia wanatakiwa wenye tamaa wazidi kuondoka ili wabaki watu wa kutumikia wananchi.
 
Back
Top Bottom