kagoshima
JF-Expert Member
- Dec 31, 2015
- 3,502
- 6,812
Tukiwaambia CCM ndo kikwazo cha maendeleo ya inchi hii muwe mnaelewa. Na tatizo kubwa ni rushwa wanazopata kwa kuwapa tenda wachina hata kujenga jengo tu.
Kama SUMA jkt walijenga ikulu na majengo mengi ya umma kwa viwango bora kabisa na garama ndogo, kwanini baada ya kifo cha magufuli tenda za ujenzi wa majengo na miundo mbinu mbalimbali ya umma zimerudi kwa wachina ?
Jibu ni rushwaa. Kupata chochote kitu toka kwa wachina.
Ni liji tutaamini uwezo wa watu wetu. Hivi tunasomesha vijana wetu architect, civil engineering, Qs, logistics nk nje na ndani ya inchi ili iweje? Ili wakawe vibarua wa wachina ? Ili wafanye collar jobs?
Tukisema ccm wako addicted na vyeo na madaraka tu na si maendeleo ya taifa hili muwe mnaelewa.
Ona kule kwa Bukinafado. TRAOLE anahakikisha vijana wa bukinafaso ndio wanaijenga inchi. Kila sector kuanzia kilimo, ujenzi, na viwanda. Huku kwetu ccm wako bize kushughulikia wanaokosoa utendaji mbovu wa serikali. Hakuna mipango. Vision na mission vipo kwenye makaratasi tu. Hakuna mikakati. Hakuna usimamizi unaoeleweka. Focus na madaraka. Kutawala. Kuiba na kulinda kilichoibwa. Hakuna anayejali, si bunge wala serikali.
Tunahitaji mabadiliko makubwa ya kimfumo na kiutawala yatakayoainishwa kwenye katiba mpya. Vinginevyo we are doomed.