Mpango wa kumng'oa Dr. Ndalichako

Status
Not open for further replies.
...Hizo barua ukiziangalia kwa makini utagundua walio ziandika hawana akili kabis a na niwatupu kichwani.....

Barua ya kwanza imetumia lugha ya kiswahili ila kwenye anwani imeandikwa P. O. BOX 111, barua nyingine kwenye anwani imeandikwa S. L. P 611, TANZANIA, ilo Sandiku la Barua sijui lipo mkoa gani!
 
He, hii ni hatari iliyoje? Hivi ni kwa nini Waislamu wako hivi jamani? Mbona hawezi kuishi bila vituko? Ok. Tuamini kuwa mkakati wao unafanikiwa. Ina maana watawapa wanafunzi wa Kiislamu marks za bure? Hawa wtu Mkapa aliwapa kilichokuwa chuo cha TANESCO bure wakakifanya chio kikuu chao lakini Wakristo waliangalia tu. Ndalichako angerudi tu mlimani aokoe maish yake. Kama ambavyo wameharibu wizara ya elimu kwa kushusha alama za ufaulu ndivyo itakavyokuwa na kwa NECTA na mwisho wa siku Watanzania watashindwa kushindana kwenye ulimwengu wa wasomi. Wajiulize. Uganda ilikuwaje baada ya kutawaliwa na mwislamu mwenzao? Bila shaka jibu wanalo.



Nilidhani humu ni GT,wewe umenifanya nikuone una udini kuliko kuwa analytical zaidi. Miaka hii unaleta assumptions kwamba waislam sio wasomi,really!!!!where r ur facts????Shime hizi mentality ndio zinasababisha chuki za kijinga,It is about time watu kama wewe kukemewa kwa nguvu zote,STOP!!!!!
 
huyu Dr alinifundisha masomo ya Measurement and Evaluation in education EP 202 & 402.
nilimkubali sana sana kwenye taaluma yake hii.

sijui ni kosa gani alilolifanya hadi watu wamwone kwamba hafai lkn kwa taaluma yake hii juu ya mambo ya mitihani watu wasimbeze manake anaijua vyema na yuko competent sana kwenye haya mambo ya testing and eveluation

Dr Ndalichako ni mwalimu wangu amenifundisha ni mtaalamu aliyebobea hasa katika maeneo ya upimaji na tathimini ya mitihani. Wanaomlaumu wanalao jambo. Kazi ya NECTA ni kupima uwezo wa wanafunzi katika maarifa waliyojifunza/waliyofunzwa huko mashuleni ambayo yanasimamiwa na wizara ya elimu ambapo Ndalichako hahusiki kabisa. mama Kaza kamba tunakuamini unaweza maana ujuzi unao. Achana na kelele zisizona maana. Uozo upo serikali kuu tuanze nao maana bajeti ya wizarani ni ndogo
 
Najaribu kujiuliza hawa ma-Ustaadhi iwapo vikao vilikuwa vya siri kama nyaraka zinavyosema, katika dunha ya leo ya tecnohama wameshindwa kuwasiliana kwa simu au email hadi kuandikiana barua pamoja na mihuri?
Nachelea kuzifananisha hizi nyaraka na ule ushahidi wa Mh. Mrema juu ya rushwa ya Sh. Mil. 900, na mleta mada angajtjia usijekuwa unatumiwa kutusahaulisha mjadala wa Katiba.
 
Na Waziri Kawambwa akatoa tamko lifuatalo:

"Pamoja na marekebisho hayo, Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi itaunda Kamati ya wataalamu kuiwezesha serikali kujiridhisha zaidi na hatua zilizochukuliwa na Baraza la Mitihani ili kuepuka dosari ya aina hiyo isijitokeza tena kwa siku zijazo."

Ndalichako ndio tatizo, ukipenda usipende.
 
Hoping u r ok Maadam.Usiwe extremest kiasi hiki.Akiondolewa Dk Ndalichako hakutabadili hali kwani ni sawa na kupaka rangi ukuta ukidhania umeziba nyufa. Kikubwa ni kuzingatia yote ILIM DUNIA na ILIM AKHERA hebu jaribuni ilo kama hamtafanikiwa niite mchochezi.Who is Joyce Vs[(Kikwete,Bilali,Shein,Seif ,Kawaambwa),Rashid Othman,Saidi Mwema et al]

"Pamoja na marekebisho hayo, Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi itaunda Kamati ya wataalamu kuiwezesha serikali kujiridhisha zaidi na hatua zilizochukuliwa na Baraza la Mitihani ili kuepuka dosari ya aina hiyo isijitokeza tena kwa siku zijazo."
 
Nilikuwa najitahidi ku-scroll ili nione comments zako kuhusu mada hii, mbona michango yako ni ya maana kwenye threads zingine lakini thread inayohusu uislam maarifa yako yote hupotea na kuongea utumbo mtupu. haya mtoeni Dr Ndalichako mmlete muislam mwenzenu awagawie marks za bure

"Pamoja na marekebisho hayo, Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi itaunda Kamati ya wataalamu kuiwezesha serikali kujiridhisha zaidi na hatua zilizochukuliwa na Baraza la Mitihani ili kuepuka dosari ya aina hiyo isijitokeza tena kwa siku zijazo."
 
Baadhi ya waislam hawaelewi chanzo cha matatizo yao...marekani akipiga Iraq wanasema uislam unahujumiwa, marekani hiyo hiyo ikimpa Lipumba uenyekiti wa wachumi duniani wanachekelea na kujigamba...marekani hiyo hiyo ikimwita kikwete "kaka" na kukumbatiana nae, meno yote nje kwa furaha.

Nyie watu sijui ni nani aliyewaloga, hamjui ku-site tatizo. Hata kama ni kweli Ndalichako anatatizo ishu sio kumuattack kidini, mngeraise ishu kiutendaji kwani kuna dini imemtuma afanye hayo makosa mnayosema??

Jifunzeni kusolve problems in a right way..ishu za kitaaluma zitatuliwe kitaaluma....ishu za security zitatuliwe kwa namna ya security.....

Muoneni huyu, Merekani na Ndalichako wapi na wapi?
 
Huyu mama bogus kabisa hivi nyie mnaomtetea ni HAKI KWELI SOMO LIGAWIWE MARKS KWA AVERAGE YA 3 BADALA YA 2?hata kama formula ilikosewa jee waliwahi fanya manual kuhakiki majibu?jee ni kwa muda gani formula hiyo imewanyima A na B wanafunzi wa islamic studies?nina uhakika huyu mama angekua muislam angeshatolewa siku nyingi pale necta kwa nguvu ya kanisa iliyonayo nchi hii.kwa kuwa ni mkristo mpaka leo anakula mshahara,inanikumbusha madudu ya ngeleja lakini wakristo hawayakuyaona mpaka rais alipobadilisha baraza

mtavimba mpaka mpasuke,ndalichako yupo palepale maana mpaka jk anamkubali itakuwaje nyie vidudu ambao huwa haridhiki
 
Wenzenu wanachangishana pesa kujenga mashule na zahanati,,nyie mliitana uwanja wa taifa kuchangishana pesa kwa ajili ya redio imani ili kuipa nguvu itukane vizuri wasio wenzenu..bado hamuoni akili zenu zilivo fupi!!

hao mashehe kwa nini wasiitishe harambee ya kujenga miradi ya maendeleo(shule+zahanati),mbona kuna mabillion ya matajili wa kiislamu hayana kazi? au uislamu wa kweli ni kuanzisha vurugu?
 
Chondechonde wapendwa mjadala huu ulenge kutoa suluhu ya changamoto ambazo sisi kama taifa tunazipitia.

Faizafoxy na wenzako jadilini hoja na msiongozwe na hisia za milengo yenu katika kumtafuta mchawi.

Ni kwakufanya hivyo tu tutakuwa tunajenga taifa letu pamoja.

Viongozi wengi sana wanaisoma JF na wangependa kuona hoja, mawazo, na ushauri ambao ni chanya zaidi ktk kuboresha elimu yetu nchini
 
Ukiziangalia shule nyingi za kiislamu utaona hawa wenzetu wanamsonta Mama Ndalichako kwa kidole kimoja huku wakisahau kuwa vidole vinne vinawasonta wao,Kifupi hizi shule haziko serious kabisa na elimu dunia,niliwahi hudhuria graduation ya shule fulani ya kiislamu kule kahama kwa kweli kwa aina ya Walimu niliowaona pale pamoja na mazingira yake ckushangaa kwanini katika ile shule cku ikitokea vijana wakipata walau division two hata mbili basi ni Sherehe kubwa sana,Hebu badirikeni wenzetu muendeshe shule zenu vizuri hata kwa kuwaiga wenzenu Fedha boys,punguzeni kuajiri Walimu kajanja,punguzeni ratiba za nje ya darasa mtafaulu tu!


Najisikia fahari sana cheti changu kuwa na sahihi ya Mama Ndalichako
.
 
hatuhitaji malumbano yote haya. tunchohitaji ni kimoja tu nacho ni kufuta masomo yote ya dini kwa shule za serikali kuanzia primary mpaka kidato cha sita, kupiga marufuku uvaaji au ubebaji wa aina yoyote ya nguo au kitu chochote chenye kiashiria cha dini. kuzuia baraza la mitihani na wizara ya elimu kujihusisha na mitaala ya dini au kutunga mitihani ya dini au kusahihisha mitihani yoyote ya kidini.
Masomo yoyote ya kidini katika mashule yanayoendeshwa na taasisi za kidini kutokutambuliwa au kujumlishwa katika matokeo ya mitihani yakitaifa.

NI MUHIMU KUTENGANISHA MASUALA YA KIDINI NA ELIMU YETU.

Natumia simu ningekupa like..verygood say.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom