Mheshimiwa Said Mohamed Mtanda, mbunge wa Mchinga (CCM) ni mhusika wa karibu kabisa wa mpango huu.
huyu Dr alinifundisha masomo ya Measurement and Evaluation in education EP 202 & 402.Nimeambatanisha hapa PhD Dissertation ya Dr. Ndalichako kwa wale wenye appetite ya kuipitia.
Ni Mtanzania pekee mwenye PhD katika masuala ya mitihani.
Mi nawashangaa watu wanaomshambulia huyu mama. Kazi necta sio kufaulisha watoto ni kupima uwezo wao wa maarifa waliyoyapata toka shuleni yaliyosimaiwa na wizara ya elimu. Kama ufundishaji ni mbovu, anayehusika ni wizara si Ndalichako.Nimeambatanisha hapa PhD Dissertation ya Dr. Ndalichako kwa wale wenye appetite ya kuipitia.
Ni Mtanzania pekee mwenye PhD katika masuala ya mitihani.
Halafu huyu jamaa ali msafisha kabisa Mh Kawambwa kuwa hana makosa kabisa kwenye suala la kufeli kwa vijana wa darasa la saba,kama kuna mwana JF anaweza kutupa clip ya u-tube ya huyu jamaa utamsikia alichokuwa anakisemaMheshimiwa Said Mohamed Mtanda, mbunge wa Mchinga (CCM) ni mhusika wa karibu kabisa wa mpango huu.
Mbunge wa Mchinga, Mheshimiwa Said Mohamed Mtanda (CCM) anatajwa kwenye nyaraka hizo kuwa shujaa wa harakati hizo.
Huyu mbunge ana udugu wa damu na Mheshimiwa Dkt. Shukuru Kawambwa.
Nimeambatanisha hapa PhD Dissertation ya Dr. Ndalichako kwa wale wenye appetite ya kuipitia.
Ni Mtanzania pekee mwenye PhD katika masuala ya mitihani.
huyu Dr alinifundisha masomo ya Measurement and Evaluation in education EP 202 & 402.
nilimkubali sana sana kwenye taaluma yake hii.
sijui ni kosa gani alilolifanya hadi watu wamwone kwamba hafai lkn kwa taaluma yake hii juu ya mambo ya mitihan watu wasimbeze manake anaijua vyema na yuko competent sana kwenye haya mambo ya testing and eveluation