Mwanaukweli
JF-Expert Member
- May 18, 2007
- 4,786
- 1,710
Kuna mpango wa chini chini wa kumng'oa Dr. Ndalichako kama vinavyoonekana vielelezo hapo chini.
Hili baraza la wakuu wa shule ni kama baraza la vilaza fulani hivi. Ni Godfrey Binaisa yupi huyo aliyekuwa na PhD? Na haya yote yanahubiriwa misikitini bila kificho, serikali haiyajui? Au kina Othman na kina Mwema ndio wanaotajwa kama waislamu serikalini wanaounga mkono harakati hizo. Tutakuja kujuta baadaye.