Bornvilla
JF-Expert Member
- Feb 17, 2011
- 924
- 272
Naona matusi yamekuwa mengi sana toka kwa wakristo. Jamani msiwe wajinga. Ndalichako ndio kichwa cha baraza kama aliowateua ndio walileta mchezo mchafu inamaana yeye anatakiwa awajibike. Kwa usalama wake yeye mwenyewe avunje baraza na kuliunda upya ili kuondoa sintofahamu ya sikunyingi kati ya necta na waislam. Niulize,hivi kuna kigezo gani ambacho waislam hawana ili waweze kushika nafasi ya ukatibu necta? Tangu kuundwa kwa baraza akujawahi kuwa na muislam aliyeshika wadhifa huo kuna siri gani hapa? Ili uweze kujua siri iliyopo hebu acheni ubishi karejeeni kitabu cha Padr J.Sivalon ndio mjue kuwa waislam hatukurupuki kama nyie mnavyokurupuka hapa. NECTA imegeuzwa kuwa kama parokia kwani nchi hii ni ya wakristo pekeyao? Jinsi mlivyo wabaguzi tunawajua. Kwenye maofisi situpo pamoja? Mnaficha uozo eeeh!