Mpangaji wangu kashindwa kunilipa kodi

Mpangaji wangu kashindwa kunilipa kodi

Huyo binti anakutumia message anakutega tu ukijichanganya kukatongoza umeisha
 
Huyu mpangaji wangu nimemvumilia sana, ni mwaka wa pili sasa anasema mambo yake hayako vizuri, nikienda kumdai kodi yeye na mkewe wanalia sana kwamba nizidi kuwavumilia.

Kuna binti yao yupo form four huyo naye anajiunga nao kunililia anasema baba tusaidie tu babaa tutakulipa huku kanipigia magoti kushika viatu vyangu na suruali.

Imefikia hatua mke wa jamaa ananiandikia sms kuniomba niendelee niwavumilia, hata binti naye anaandikia sms kunipa shikamoo na kuniambia baba naomba tuvumilie tu maana baba yangu hana hela kabisa hata mimi nasoma kwa shida sana babangu.

Anapofanyia kazi huyo jamaa napajua na anapofanyia kazi huyo mkewe napajua ila siwezi kuwaambia sababu ya kulinda maudhui ya hapa JF.

Nipeni ushauri ila mimi naona ni kuwatimua tu tarehe 30th November hii, kifupi kila mtu atabeba sanduku lake mwenyewe na hapa mjini kila mtu kaja kivyake.
Wapi mkuu natafuta nyumba..?
 
hapa mzee siwezi kabisa kufanya hivyo...hapana....dhamira itanisuta na ni dhambi kubwa sana ku-take advantage kwenye matatizo ya wengine - NO
Waache waishi hapo basi! Usiwalaamikie wala kuja kulalamika huku.
 
Utakuwa una vyanzo vingine vya kipato,2 years!!
 
Fukuza, hajachangia tofali huyo
, joking aisee mkuu mambo magumu
 
Usikalili maisha mkuu jambo lake la kodi ni haki yake na halina mahusiano na kesho yake
Ni kweli unachokisema ila tambua huyo Mungu alie wapa wakati mgum huo ndie aliekupa uwezo wa kujenga hiyo nyumba.Aangalie hali ilivyo awe na huruma kwani mali sio chochote bali utu ndoo msingi wa maisha
 
Huyu mpangaji wangu nimemvumilia sana, ni mwaka wa pili sasa anasema mambo yake hayako vizuri, nikienda kumdai kodi yeye na mkewe wanalia sana kwamba nizidi kuwavumilia.

Kuna binti yao yupo form four huyo naye anajiunga nao kunililia anasema baba tusaidie tu babaa tutakulipa huku kanipigia magoti kushika viatu vyangu na suruali.

Imefikia hatua mke wa jamaa ananiandikia sms kuniomba niendelee niwavumilia, hata binti naye anaandikia sms kunipa shikamoo na kuniambia baba naomba tuvumilie tu maana baba yangu hana hela kabisa hata mimi nasoma kwa shida sana babangu.

Anapofanyia kazi huyo jamaa napajua na anapofanyia kazi huyo mkewe napajua ila siwezi kuwaambia sababu ya kulinda maudhui ya hapa JF.

Nipeni ushauri ila mimi naona ni kuwatimua tu tarehe 30th November hii, kifupi kila mtu atabeba sanduku lake mwenyewe na hapa mjini kila mtu kaja kivyake.
Umejitahidi Kuwavumilia, Miaka 2 sio midogo Mkuu, ata ukiwatimua hautakuwa umetenda dhambi
 
Mpishe shetani apite mkuu
Huyu mpangaji wangu nimemvumilia sana, ni mwaka wa pili sasa anasema mambo yake hayako vizuri, nikienda kumdai kodi yeye na mkewe wanalia sana kwamba nizidi kuwavumilia.

Kuna binti yao yupo form four huyo naye anajiunga nao kunililia anasema baba tusaidie tu babaa tutakulipa huku kanipigia magoti kushika viatu vyangu na suruali.

Imefikia hatua mke wa jamaa ananiandikia sms kuniomba niendelee niwavumilia, hata binti naye anaandikia sms kunipa shikamoo na kuniambia baba naomba tuvumilie tu maana baba yangu hana hela kabisa hata mimi nasoma kwa shida sana babangu.

Anapofanyia kazi huyo jamaa napajua na anapofanyia kazi huyo mkewe napajua ila siwezi kuwaambia sababu ya kulinda maudhui ya hapa JF.

Nipeni ushauri ila mimi naona ni kuwatimua tu tarehe 30th November hii, kifupi kila mtu atabeba sanduku lake mwenyewe na hapa mjini kila mtu kaja kivyake.
 
Hii chai:kweli ss ni great thinkers?

c
 
Hii ni aina gani ya huruma? SIJUI kama mtume Petro alifundisha maana alituasa tuwe na KIASI. Angalia jamaa asiwe anatenda dhambi kwa huruma zake
Haya Matokeo ya kutawaliwa na mawazo ya ngono kichwani, hata jambo dogo tu la ku reasoning linakua mtihani
 
kaka pango ni Sh 300,000 kwa mwezi, kwa mwaka ni Tsh 3,600,000 kwa miaka miwili ni 7.2m. ni hela nyingi sana wakuu.
duh mzigo wote huwo, mkuu in reality hapo hakuna wakukulipa wapige chini. Principle ya deni ipo hv deni linapokua kubwa mdaiwa uona wivu kumlipa mdai. So ipo ivi uyo mzee akishika 10m na cjui ataishikia wap hii, walai na hapia hawezi kutoa 7.2m akulipe ataona kama utakufaidisha na wakati ulimvumilia sana. MKUU MOVE FORWARD HILI USIJE JUHUTIA WEMA WAKO WAKUWAVUMILIA, fanya hvi WAPIGE CHINI
 
Si akulipe tu huyo mke wake au angalia yupi akulipe kati ya mke na binti,lakini mimi naona wakulipe wote wawili,mke na binti,hata wenyewe wameonyesha nia ya kukulipa
Acha ushauri wa ajabu mkuu, inakuwaje usamehe deni la 7.2M kwa uchi wa mwanamke tena kwa muda mfupi tu. Dawa ya deni ni kulipa, cha msingi huyu bwana aangalie namna ya kuwalipisha hiyo pesa ama pengine aombe wamlipe fedha nusu halafu nyingine asamehe waanze upya.

Na hiyo kuanza upya ni kwamba huyo bwana aliepanga alipe kodi ya miezi 6 na si tofouti na hapo ili kuendelea kubaki kwenye makazi ya huyo bwana.

Tofouti na hapo wao wapangaji waangalie namna ya kuondoka hapo kwa amani, na mwisho bwana Land Lord usije jaribu kuingia kwenye mtego wa kutoka either na Mke wa huyo bwana ama binti yake hivyo, maana naona wanavyokutumia SMS mara kwa mara kuna kitu wameongea wanatafuta namna ya kujinasua na hilo deni.

Uwe makini na ikiwezekana waonye wasikutumie SMS mara kwa mara.
 
Mkuu naamini umechelewa kumpa huu ushauri. Tayari alishawatafuna. Rejea tu maelezo yake kwa hao wanawake wawili. Picha inakujiaje?. Pili kashasema anataka kuwatimua. Maana ya kuwatimua ni kwamba usihesabie tena maswala ya hela hapo
 
Miaka miwili hajalipa kodi? basi wape miezi 3 wajiandae kuondoka. Inaonekana nyumba yako ni kodi kubwa hawawezi kuimudu
 
.hali ngumu eeeeh okay basi warudi kijjin kama awataki wakaishi makaburin au stend za mabasi
Ndugu haya maisha usiyachukulie hivyo na unasema hivyo kwa kuwa bado hujapata mitihani ya maisha.Labda bado uko kwa wazazi au Marioo.Kwa sisi ambao tumewahi kupigwa na maisha,hayo mambo ni ya kawaida sana.
 
Halafu mbona ni gender moja ndo inahusika sana?, baba wa familia mbona humtaji kwani inakuaje asee mkuu
anataka aone ushabiki maandazi wa humu ili achukue maamuzi ya kudonoa, hata comments anajibu hizo hizo za kumtaka awale binti na maza ake.... Don't dare ( shauri yako mleta mada

NB kama sio chai lkn maana humu mmh
 
kaka pango ni Sh 300,000 kwa mwezi, kwa mwaka ni Tsh 3,600,000 kwa miaka miwili ni 7.2m. ni hela nyingi sana wakuu.
Ah..mi nilidhani ni chumba na sebule wao wajibane chumbani mtoto sebleni kumbe wanajitia ubosi? Wakulipe kodi yako tafadhal baada ya hali kuwa mbaya ilitakiwa waswitch kulingana na mazingira!
 
CONTROLA, Mawazo yako kama yangu mwanzo niliingiwa huruma kwa kujua chumba 25,000 ikizidi sana 30,000 eti nyumba nzima kwa raha gani waliyonayo?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom