Joowzey
JF-Expert Member
- Nov 13, 2015
- 13,164
- 13,549
Mkuu kama hii sio Chai,ni kweli bas umewavumilia sana..miaka miwili ni mingi mnooKaka hakuna haja, hujawaleta town na wala hawakukushirikisha wakati wanaongeza famiia....cha msingi walipe tu na kama hawawezi basi wachomoke fasta kabla ya 30th Nov, bado siku 15 tu toka leo..siku za kuwa mstraabu zishaisha.
Je umewahi kuongea nao kujua tatizo ni nini mpaka washindwe kulipa kodi? Ingekuwa baba hafanyi kazi au amesimamishwa hapo sawa ila anafanya kazi,tena wote wawili? Jaribu kwanza kujua tatizo ni nini kabla ya kufanya maamuz