Umeshindwa kung'amua tu, huyo binti ni mwanafunzi kidato cha nne, Mr Fuso anajali elimu ya mtoto na maisha yake huko mbelen..angewatimua siku za nyuma , angemvuruga sana huyo mtoto upande wa elimu yake, ameamua kukaa kama mzazi....Observation:
Nimeona umem-mention huyo binti yao wa form 4 mara mbili bila reason yeyote ya maana.
My take:
Kwa kuwa umeweza kuwavumilia miaka miwili mi naamini unaweza kuwavumilia kwa lifetime na kuwamilikisha kabisa hapo wanapokaa pawe mali yao
Duh hela nyingi kweliii. Ushauri wangu wasamehe hiyo kodi ila waambie wakuachie nyumba yako wakapange sehemu ingine yakodi ndogokaka pango ni Sh 300,000 kwa mwezi, kwa mwaka ni Tsh 3,600,000 kwa miaka miwili ni 7.2m. ni hela nyingi sana wakuu.
kaka siwezi, hiyo ni nyumba yangu ya kwanza ya ujana - nimejenga kwa kujinyima sana, sikukaa bar kula bia na nyama choma kama vijana wengine, nilipanda daladala kwenda na kurudi jo, sikutaka kununua gari kama vijana wengine walivyokuwa wanatesa wakati huo, sikwenda club bali ni kukaa kwenye chumba changu kimoja huku kila senti niipatayo ikiingia kwenye ujenzi.... nikajenga nikamaliza....Nyumba yangu ya ujana inaniuma sana, watalipa tu ngoja nisubiri huyo binti yao amalize paper ili nilianzishe timbwili.Duh hela nyingi kweliii. Ushauri wangu wasamehe hiyo kodi ila waambie wakuachie nyumba yako wakapange sehemu ingine yakodi ndogo
Hakuona pa' kuwamwagia😂😂😂 ila kama mtu hana pesa ya kulipa kodi si amuache tu, akimfukuza atakwenda wapi na familia yake.Kweli wewe ni FUSO! umewabeba wapangaji wako ukaja kuwamwaga jukwaa la siasa!!
Kabisa mkuu, tuone kama ataweza kutembea🤔🤔🤔🤔.jaribu kuvaa viatu vyao......
Umeshindwa kung'amua tu, huyo binti ni mwanafunzi kidato cha nne, Mr Fuso anajali elimu ya mtoto na maisha yake huko mbelen..angewatimua siku za nyuma , angemvuruga sana huyo mtoto upande wa elimu yake, ameamua kukaa kama mzazi....
Seems like shetani at work😂😂😂Subiri kwanza huyo binti wa form 4 amalize mitihani alafu nitakuambia cha kufanya.
hapa mzee siwezi kabisa kufanya hivyo...hapana....dhamira itanisuta na ni dhambi kubwa sana ku-take advantage kwenye matatizo ya wengine - NOAnza kutembea na binti yao. Au wew ni ke?
Timua hao!kaka pango ni Sh 300,000 kwa mwezi, kwa mwaka ni Tsh 3,600,000 kwa miaka miwili ni 7.2m. ni hela nyingi sana wakuu.
Sounds reasonable.Kama huna shida zako zenye uhitaji mkubwa basi wavumilie lakini kama na kwako maji ya shingo pia KILA MTU ABEBE MZIGO WAKE! hakuna namna.
Kama amejivika majukumu ya familia nawe mvike majukumu ya ki mother mother. U balance.kaka wale wameajiliwa.....sasa sijui kuna nini kimetokea kwenye hii familia kwa kweli sijui kabisa....Binti anamaliza shule ndiyo nasubiri akimaliza tu niwashe moto maana huwa anani text kuniomba nisiwatimue wazazi wake na wadogo zake...yaani ni kama binti anajivika majukumu ya kifamilia akiwa bado mdogo....inatia huruma sana... ila wataondoka tu.