- Thread starter
- #41
Mkuu hicho ndicho kimesababisha nilete hii mada hapa, yule binti pamoja na mitihani huwa anani sms kuniomba nisiwatimue wazazi wake... huwa nampa moyo kwamba binti endelea na mitihani yako tu usijali siwezi kufanya hivyo - yaani haya maisha jamani laaahSubiri kwanza huyo binti wa form 4 amalize mitihani alafu nitakuambia cha kufanya.