Mpangaji mwenzangu ni mtu mbaya

Mpangaji mwenzangu ni mtu mbaya

Mhh! Mapenz yaua. Huyo jilan nae haoni wanawake huko mpaka aje awinde njiwa wa kwenye banda la mwenzake. Hao ndo wale wanaovizia ma'house gal.
 
Mhh! Mapenz yaua. Huyo jilan
nae haoni wanawake huko mpaka aje awinde njiwa wa kwenye banda la
mwenzake. Hao ndo wale wanaovizia ma'house gal.

matokeo yake kaniharibia mimi sasa.Nalog off
 
Huyo joice log off tu ubaki na yule mwingine asiejua kinachoendelea.
 
Hivi inakuaje mutu unaomba ushauri wa kufanya ku mubaya

inawezekana kuna mtu ambaye alishawahi kutokewa na yaliyonitokea mimi na akayamaliza basi atanisaidia kama alivyofanya yeye.Nalog off
 
Hana cha kufananisha wala nn,alifanya makusudi akukomoe tu

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom