Dah! kweli nimebugi ila niitaendelea kuangalia ni jinsi gani naweza kumaliza naye au ndio wewe nini mpangaji mwenzangu?
Nalog off
huoni aibu kutuambia unawapenz 2 peleka kule upuuzi huu
subiri yakukute ndio utajua ni real ama vipi,ah wapi siwezi kula naye itambidi atafute wake.Nalog offStory doesn't sound real..kizuri kula na mpangaji mwenzio..
[FONT=century
gothic]Kwi kwi kwi kwi kwi LOL!...Eti "najianda na kuziziba njia
zote zitakazonifanya nipelekwe lupango." nalog off
:majani7::majani7::majani7:[/FONT]
Concern:
Wachumba wawili wanini mkuu? Au dini inakuruhusu kuoa zaidi ya mmoja!?
Ushauri:
1. Hasira hasara na kujichukulia hatua mkononi pia si ruhusa na si
busara kwa usalama wako na yeye pia.
2. Rekebisha mahusiano yako na hao. Nijuavyo mimi mchumba ni yule ambaye
unajiandaa kumuoa au kuolewa naye. Sasa hapo unajiandaa kumuoa yupi, na
umejiandaaje kuikabili disappointment ya utakayemuacha.? Siulizi ili
unijibu bali ufikirie upya..kisha wahenga walisemaa..KIJUA NDIO HIKI,
USIPOANIKA UTATWANGA MBICHI.
3. Upande mwingine mpangaji wako pengine katumia njia hiyo kukusaidia
ku-deal na namba mbili yangu hapo juu.
hao wachumba zako
mapacha kiasi cha mpangaji mwenzako kuwachanganya namna hiyo.....huenda
jirani yako hapendezwi na tabia yako akaamua kuharibu huna haja ya
kujiharibia maisha jirekebishe
Aisee. Naona wewe ndie uliyejichanganya hapo.
Ongea na jirani yako, mwambie akane kauli kuwa jana aliyekuja ni mpenzi wako. Akane kauli hiyo mbele ya Joyce..
Pia tulizana. Wapenzi wengi sio mpango next time utajichanganya zaidi.
sijaonana naye tokea siku hii aliyoniharibia kwa Joyce ili nimwambie afanye hivyo ulivyoniambia. Napata wakati mgumu sana kumchagua mmoja kati ya hawa wawili kwa kweli.Nalog off
Habari zenu?
Ni hivi nina wachumba wawili tofauti,sasa juzi kaja mchumba wangu Asha na ndugu yake kuja kunitembelea mara mpangaji mwenzangu naye akaja basi tukapiga stori zetu na kupata chakula na vinywaji vya hapa na pale,baada ya hapo mpangaji mwenzangu akaenda kwake na mchumba wangu na ndugu yake nao nikawasindikiza wakaenda kwao.
Jana kaja mchumba wangu Joyce nikamwacha nyumbani na mimi nikatoka kidogo kuna mtu nilikwenda kumuona kumbe yule mpangaji mwenzangu alirudi na kuanza kumwambia huyu mchumba wangu Joyce kuwa ametokea kumpenda yule dada yake aliyekuja naye jana,basi Joyce alimuhakikishia kwamba sio yeye aliyekuja jana ila huyu mpangaji mwenzangu aliendelea kumwuomba amuunganishe na yule dada yake ndipo Joyce akamwambia sio yeye aliyekuja jana na akataka amwambie ni mwanamke gani huyo aliyekuja na rafiki yake pale kwangu? Baada ya kuona hivyo yule mpangaji mwenzangu akatoka bila kuaga,ile kurudi nikakutana na zogo hili na Joyce kaondoka huku amekasirika na kusema nikimwita basi nimuandalie majibu yaliyonyooka.Mpangaji mwenzangu hakulala kwake na hajarudi mpaka sasa,
Nimepanga kumfanyia kitu mbaya huyu mpangaji mwenzangu,
je,nimtende au nisimtende?
Nalog off
Wapenzi wawili!!!!!!!!!!!
Sina la kuchangia utajua mwenyewe na majirani zako
Pole sana ndugu. Inaonekana
amejishtukia kuwa amekuharibia mahusiano yako. Ataonekana tu. Kama
mnakaa pamoja we ngoja kama wiki moja ipite atarudi then upange nae huo
mpango.
Na akili zako zooote!? Nisije nikakutukana sasa