Mpangaji mwenzangu ni mtu mbaya

Mpangaji mwenzangu ni mtu mbaya

Huyo jamaa nae kimeo, ina maana mmekula na kunywa wote pamoja kashindwa hata kumshika sura huyo mchumba wako??? hainiingii akilin nadhan kuna kitu unapindisha hapa mkuuu.....!!!
hakuna nilichopindisha mkuu nimenyoosha maelezo ila huyu jamaa nadhani ana lake moyoni.
Nalog off
 
ivi wanaume ndo mnakua mnalalamika kua wachumba wenu si waaminifu?
Washawasha una washwa nini hadi unapata muwashawasha wa kuchumbia wasichana wawili?

utaoa wote?
ukioa ukaendelea na tabia hiyo tego na dawa za kunasiana zitakuhusu wewe
 
Last edited by a moderator:
ivi wanaume ndo mnakua mnalalamika kua wachumba wenu si waaminifu?
Washawasha una washwa nini hadi unapata muwashawasha wa kuchumbia wasichana wawili?

utaoa wote?
ukioa ukaendelea na tabia hiyo tego na dawa za kunasiana zitakuhusu wewe
hawa ninao kwa muda mrefu sana kwahiyo inaniwia vigumu kumwacha mmoja na kubaki na mwengine.
Nalog off
 
ikinitokea puani itanibidi nikutafute ili uniliwaze.
Nalog off

Hii ni tabia ya ki-malaya nakushauri nenda kapime damu kubwa. Halafu chagua mmoja anatosha. nawachukia watu aina yako mnapingana na sera za serikali za kupinga kueneza maambukizi ya ukimwi.

Umemgegeda mpangaji mwenzako ulitegemea ana roho ya chuma asione wivu kwa demu mwingine?
 
Hii ni tabia ya ki-malaya
nakushauri nenda kapime damu kubwa. Halafu chagua mmoja anatosha.
nawachukia watu aina yako mnapingana na sera za serikali za kupinga
kueneza maambukizi ya ukimwi.

Umemgegeda mpangaji mwenzako ulitegemea ana roho ya chuma asione wivu
kwa demu mwingine?
hapana bi dada,kati yetu hakuna mwenye ngoma wote sie ni wasafi hakuna wa kumuogopa mwenziwe.Halafu huyu mpangaji ni mwanaume mwenzangu kwahiyo sijamla.Nalog off
 
hapana bi dada,kati yetu hakuna mwenye ngoma wote sie ni wasafi hakuna wa kumuogopa mwenziwe.Halafu huyu mpangaji ni mwanaume mwenzangu kwahiyo sijamla.Nalog off

Kama ni mwanaume basi anakuonea gere, ila mpunguze Asha:A S 39:
 
Wadada wa karne hii mbona mna kazi kubwa sana ya kufanya utafiti wa wachumba zenu kabla hamjaolewa??
 
Wadada wa karne hii mbona mna kazi kubwa sana ya kufanya utafiti wa wachumba zenu kabla hamjaolewa??
Mkempia tunajitahidi ila inaonekana hawa jamaa wanatuzidi mipango. (Wachumba hata watatu Tunawekewa zamu bila kujijua)
 
Back
Top Bottom