Mpangaji mwenzangu ni mtu mbaya

Mpangaji mwenzangu ni mtu mbaya

Habari zenu?
Ni hivi nina wachumba wawili tofauti,sasa juzi kaja mchumba wangu Asha na ndugu yake kuja kunitembelea mara mpangaji mwenzangu naye akaja basi tukapiga stori zetu na kupata chakula na vinywaji vya hapa na pale,baada ya hapo mpangaji mwenzangu akaenda kwake na mchumba wangu na ndugu yake nao nikawasindikiza wakaenda kwao.
Jana kaja mchumba wangu Joyce nikamwacha nyumbani na mimi nikatoka kidogo kuna mtu nilikwenda kumuona kumbe yule mpangaji mwenzangu alirudi na kuanza kumwambia huyu mchumba wangu Joyce kuwa ametokea kumpenda yule dada yake aliyekuja naye jana,basi Joyce alimuhakikishia kwamba sio yeye aliyekuja jana ila huyu mpangaji mwenzangu aliendelea kumwuomba amuunganishe na yule dada yake ndipo Joyce akamwambia sio yeye aliyekuja jana na akataka amwambie ni mwanamke gani huyo aliyekuja na rafiki yake pale kwangu? Baada ya kuona hivyo yule mpangaji mwenzangu akatoka bila kuaga,ile kurudi nikakutana na zogo hili na Joyce kaondoka huku amekasirika na kusema nikimwita basi nimuandalie majibu yaliyonyooka.Mpangaji mwenzangu hakulala kwake na hajarudi mpaka sasa,
Nimepanga kumfanyia kitu mbaya huyu mpangaji mwenzangu,
je,nimtende au nisimtende?
Nalog off
tabia yako mbaya tu jirekebishe hao mabint wa watu unawapanga msululu eti wachumba huna malengo? you cannot be a drifter in the sea of life and expect to end up somewhere; it is like giving the tax driver too many direction only to end you up nowhere; milunzi mingi humpoteza mbwa
 
tabia yako mbaya tu
jirekebishe hao mabint wa watu unawapanga msululu eti wachumba huna
malengo? you cannot be a drifter in the sea of life and expect to end up
somewhere; it is like giving the tax driver too many direction only to
end you up nowhere; milunzi mingi humpoteza mbwa

dah! yaani umegonga Ikulu kabisa nastahamili japo naumia.Nalog off
 
player mzuri hujua namna ya kukwepa mafumanizi na mashtukizo ya matukio kwenye harakati zako,,,,,,,,,,
 
Habari zenu?
Ni hivi nina wachumba wawili tofauti,sasa juzi kaja mchumba wangu Asha na ndugu yake kuja kunitembelea mara mpangaji mwenzangu naye akaja basi tukapiga stori zetu na kupata chakula na vinywaji vya hapa na pale,baada ya hapo mpangaji mwenzangu akaenda kwake na mchumba wangu na ndugu yake nao nikawasindikiza wakaenda kwao.
Jana kaja mchumba wangu Joyce nikamwacha nyumbani na mimi nikatoka kidogo kuna mtu nilikwenda kumuona kumbe yule mpangaji mwenzangu alirudi na kuanza kumwambia huyu mchumba wangu Joyce kuwa ametokea kumpenda yule dada yake aliyekuja naye jana,basi Joyce alimuhakikishia kwamba sio yeye aliyekuja jana ila huyu mpangaji mwenzangu aliendelea kumwuomba amuunganishe na yule dada yake ndipo Joyce akamwambia sio yeye aliyekuja jana na akataka amwambie ni mwanamke gani huyo aliyekuja na rafiki yake pale kwangu? Baada ya kuona hivyo yule mpangaji mwenzangu akatoka bila kuaga,ile kurudi nikakutana na zogo hili na Joyce kaondoka huku amekasirika na kusema nikimwita basi nimuandalie majibu yaliyonyooka.Mpangaji mwenzangu hakulala kwake na hajarudi mpaka sasa,
Nimepanga kumfanyia kitu mbaya huyu mpangaji mwenzangu,
je,nimtende au nisimtende?
Nalog off

Huyo jamaa nae kimeo, ina maana mmekula na kunywa wote pamoja kashindwa hata kumshika sura huyo mchumba wako??? hainiingii akilin nadhan kuna kitu unapindisha hapa mkuuu.....!!!
 
wachumba wawili lazima utakuwa na tatizo washawasha, na wote unawawasha!!! nahofia hao ni wa karibu wa mbali hujawataja hapa
 
Utamaliza mabucha yote lakini nyama ni ileile, sanasana unaweza kuambulia iliyolala
 
Habari zenu?
Ni hivi nina wachumba wawili tofauti,sasa juzi kaja mchumba wangu Asha na ndugu yake kuja kunitembelea mara mpangaji mwenzangu naye akaja basi tukapiga stori zetu na kupata chakula na vinywaji vya hapa na pale,baada ya hapo mpangaji mwenzangu akaenda kwake na mchumba wangu na ndugu yake nao nikawasindikiza wakaenda kwao.
Jana kaja mchumba wangu Joyce nikamwacha nyumbani na mimi nikatoka kidogo kuna mtu nilikwenda kumuona kumbe yule mpangaji mwenzangu alirudi na kuanza kumwambia huyu mchumba wangu Joyce kuwa ametokea kumpenda yule dada yake aliyekuja naye jana,basi Joyce alimuhakikishia kwamba sio yeye aliyekuja jana ila huyu mpangaji mwenzangu aliendelea kumwuomba amuunganishe na yule dada yake ndipo Joyce akamwambia sio yeye aliyekuja jana na akataka amwambie ni mwanamke gani huyo aliyekuja na rafiki yake pale kwangu? Baada ya kuona hivyo yule mpangaji mwenzangu akatoka bila kuaga,ile kurudi nikakutana na zogo hili na Joyce kaondoka huku amekasirika na kusema nikimwita basi nimuandalie majibu yaliyonyooka.Mpangaji mwenzangu hakulala kwake na hajarudi mpaka sasa,
Nimepanga kumfanyia kitu mbaya huyu mpangaji mwenzangu,
je,nimtende au nisimtende?
Nalog off
..................kwanza ni nini maana ya kuwa na wachumba wawili?je hao wachumba wako wanafahamiana?mimi nakushangaaa ndugu unapomkasirikia jirani yako,mimi si oni kosa lake kabisa,kwani ni kosa yeye kupendaa? itakuwa vibaya kama alifanya kwa makusudi kukukomoa lakini wewe mwenyewe umejikoroga kuwa na wachumba wawili,unawalaghai
mabinti wawili kwa nini?au unampango wa kuwaoa woteee?
 
sasa unalia nini si umuachie mmoja na we uendelee ni huyo mwingine dogo mbona unatamaa unakuwa kama fisi kila sherehe unataka uuzurie mwishowe utakosa vyote.
 
Tatizo ni kwamba hawa wote wawili ni wazuri.
Nalog off
 
..................kwanza ni nini maana ya kuwa na wachumba wawili?je hao wachumba wako wanafahamiana?mimi nakushangaaa ndugu unapomkasirikia jirani yako,mimi si oni kosa lake kabisa,kwani ni kosa yeye kupendaa? itakuwa vibaya kama alifanya kwa makusudi kukukomoa lakini wewe mwenyewe umejikoroga kuwa na wachumba wawili,unawalaghai
mabinti wawili kwa nini?au unampango wa kuwaoa woteee?
nataka kuwaoa wote wawili.
Nalog off
 
wachumba wawili lazima utakuwa na tatizo washawasha, na wote unawawasha!!! nahofia hao ni wa karibu wa mbali hujawataja hapa
hapana sina matatizo ila nina wachumba wawili,sina wa mbali hawa wawili ndio barafu wa moyo wangu.
Nalog off
 
Back
Top Bottom