Mpangaji mpya

Mkubalie halafu muombe hela ya Kodi.
 
Ukimaliza kupika chakula unakiacha nje au unapeleka ndani?
 
Anataka kumla mpishi
 

Kitendo cha Kukubali kumpikia tu.
Imeisha hiyo.
 
Hapo kwenye kula na mpishi ndo napaogopa
Kama upo single,basi elewa huyo anatafuta jiko kwa njia ya practical,atakupima usafi wako,atakupima,upo rafu au ni neat gal,tabia,kuona dosari na kuzitatua,elewa kuna siku atakwambia sina fedha,jua kutatua hili,pimeni afya zenu,pana ndoa hapo!....
 
Ndio maana vijana hawaoi kumbe, yaani kirahisi tu mtu akuombe umpikie from no where na wewe ukakubali, ukishapika atakuomba umfulie na nguo, na kitanda umtandikie na nyumba umsafishie mwisho ataomba na rungu asuuze, maana safari moja huanzisha nyingine
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…