Huko Mpanda katika eneo la Mpanda hotel shamba la mahidi lilifweka na maafisa wa halmashauri kwa sababu mbalimbali. Mwanzo walisema kuwa shamba hilo linatumika kama maficho ya wezi kabla kutoa ufafanuzi kuwa mkulima hakutakiwa kulima mazao marefu mjini.
My take:
Serikali inafanya kazi kwa njia ambazo unashindwa kuwafahamu kuwa je- watumishi wa Serikali wapo kwa ajili yaq kuhudumia wananchi au wapo kwa ajili ya kuwasumbua wananchi?
Kuna kisa kama hiki kimetokea katikati ya jiji la Dodoma: Pembezoni mwa Shule ya Sekondari ya Central pale Dodoma palijengwa frem za maduka na wadau walichukua leseni za biashara kutoka jiji na wakafungua maduka - baada ya siku chache jiji walikucha kubomoa usiku kwa maelezo kuwa ujenzi haukufuata taratibu - i am speechless