Tanga: Uongozi wa Kijiji Cha Kwamsisi Wafyeka Shamba la Mahindi ekari 12 Za Kikongwe wa Miaka 88.

ChoiceVariable

JF-Expert Member
May 23, 2017
43,107
49,809
Kikongwe wa Miaka 88 amuangukia Rais Samia Kufuatia mahindi yake ya ekari 12 jufyekwa na Uongozi wa Kijiji Cha Kwamsisi kisa Mgogoro wa Ardhi.

View: https://twitter.com/Nipashetz/status/1739244304814522387?t=86YbiYaBKje2SEIh3GZXng&s=19

Ilani.
Nani Ametoa ruhusa ya kufyeka mahindi ya Wananchi Kwa sababu iwayo yeyote?

Hii tabia imeanza kuota mizizi,ilifanyika Mpanda Kwa Mzee na Sasa imejirudia Kwa huyu bibi.

Serikali Fukuza watu wote waliohusika na huu upuuzi vinginevyo itaonekana kwamba watu maskini hawana mtetezi mbele ya wenye pesa na Vyeo.
 
Back
Top Bottom