Mpaka sasa Zanzibar hawajui Hussein Mwinyi anawapeleka wapi

hawakukosea, alikuwa chaguo la Mungu kweli maana kamchagua kwenda huko aliko sasa.
Ndio ujue unafiki wa binadamu hakuna hata mmoja ya waliokuwa wananadi kuwa Meko chaguo la Mungu alishikwa na uchungu wa kutaka kuzikwa nae, ila alipokuwa hai mishipa ya shingo iliwasimama kumsifia mpaka baadhi yao kufikia kumuita mungu.
Mamako akifa utazikwa nae?
 
Mkuu Maalim Seif alikua na mipango ya kubadilisha mfumo mzima wa utawala, Dira na uendeshaji wa nchi, Na pia Maalim Seif sio mtu mwepesi mwepesi kama viongozi wengi wa CCM waliozoea kuishi kwa kubebana, akikuona huwezi kazi anakueka pembeneni tu. Ule mtindo wa tumbua tumbua yeye ndio alieuanzisha hapa nchini miaka ya 80's akiwa waziri kiongozi kule Zanzibar, ndio mana CCM wakawa wanamchukia sana mana walizoea kuwa wavivu na kupiga pesa tu.
Ndio hakuwa rais kama angefanikiwa kuwa rais hapo ndio tungeweza kuona anatumia vp hayo madaraka kuweza kutimiza matarajio ambayo watu walikuwa nayo.

Issue ya watu kuweka matumaini makubwa kwa kiongozi halafu baadaye wanakuta mambo hayaendi kama walivyotaraji ni mambo ya kawaida kutokea.
 
Kwahiyo Magufuli amekuwa baba yako? Wapi nilipotaja mzazi wako?
Mama yangu akifa sitozikwa nae ila Mama yako dada yako na mkeo wote nitazikwa nao.
Wewe ni mpumbavu!

Nasema hivyo kwa sababu unataka waliokuwa wanamsapot Magufuli wangezikwa nae. Ndio maana nikakuuliza wewe mamako akifa utazikwa nae?
 
Acha ujinga wewe Zanzibar Nyie ni wavivu Sana Tena Sana ,umwinyi mwingi sana.

Nilikuwa hapo mwaka Jana December , maduka mtu anafungua saa tatu asubuhi huo si uchuro!


Hiyo Zanzibar kwa uchapaji kazi huwezi kuilinganisha hata na Mwanza.


Halafu wazanzibar mna roho mbaya. Hamtupendi watu wa huku bara, ukiwa na kiduka mtu wa bara mramnyooshea vidole Hadi akome. Ila Nyie mmejazana bara Hadi kigoma ndani ndani mnazaliana Kama nguruwe.

Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
Mkuu nadhani kwa ujinga umenishinda wewe unaongoza kwani hujui hata unasema nini. Labda nikukumbushe Salim Ahmed Salim alikuwa Waziri Mkuu kuanzia 1984. Yeye ndiye aliyeenda kuwavika nguo kule Mtwara.

Hivi mvivu anapata wapi muda wa kusaidia wachapa kazi? Ukisema weka akiba ya maneno. Umezungumzia suala la Wabara wakiwa na duka wananyoshewa vidole. Mimi niko Bara nina duka jirani yangu kitoka Bara ana duka, hivyo siku zote anatia chokochoko. Nani mwenye roho mbaya na asiyempenda mwenzie?

Suala la kufungua duka saa tatu unaliita uvivu. Huo ndo utamaduni wa kule. Kule Daslam mjini maduka yanafungwa saa kumi na wale wavivu? Kuhusu kulinganisha Mwanza na Zanzibar: Kimsingi hatukuja kutafuta ulinganifu kati ya Mwanza na Zanzibar ila hapa ni hoja kuwa Wazanzibari ni wavivu.

Swala la Wazanzibari kujaa Bara nadhani unaliangalia kwa jicho la kutokulielewa. Hivi sasa kule Zanzibar kuna Wabara wengi na hujasikia Wazanzibari wakilalamika. Hivi sasa wanauza hadi pipi.

Jilazimishe kutoa hoja zenye mashiko na ujielimishe kwani unaonekana hujui kitu na hujui unachokisema. Hili jukwaa wenye wanaliita"home of great thinkers" nawe jilazimishe uwe kama wao; vinginevyo umeenda kwenye kundi usilostahiki ie umepotea.
 
Mnachekesha sana...nilifika Zenji baada tu ya uchaguzi na nikasikiza anavyozungumzwa,nimerudi miezi miwili nyuma nimesikia tena anavyotamkwa jipangeni upya machogo!
Machogo ni kina nani? Wana CCM wa bara?
 
Wewe ni mpumbavu!

Nasema hivyo kwa sababu unataka waliokuwa wanamsapot Magufuli wangezikwa nae. Ndio maana nikakuuliza wewe mamako akifa utazikwa nae?
Sasa wewe na mimi nani mpumbavu? Soma nilichoandika uelewa kabla kujifanya umeelewa. Sikuandika walipaswa kuzikwa nae bali nilikuwa naonyesha kipimo cha unafiki wao.

All in all nakubali mimi ni mpumbavu ila siku zote it takes one to know the other so kwa kifupi mimi na wewe sote ni wapumbavu. Ndio nyinyi mnaojifanya mna mahaba ya dhati kwa mtu ilhali kidhati hasa mna mahaba na matumbo yenu.
 
Machogo ni kina nani? Wana Ccm wa bara?
Machogo ni sisi Wabara. Ukitamka maneno tu unatambulika lafudhi yako na kule hawana visogo huwa wanavisugua mtoto akiwa mdogo ili aweze kuvaa kibaraghashia vyema. Kwahiyo wenye chogo kule ni Wabara
 
Watu waliamini Zenji inakuwa Dubeyi au hata kuipita Singapoo, watulie dozi iwaingie waisome namba, CCM ni ile ile...
Pamoja na udogo wake huko kuna WAVIVU ILA MABINGWA WA FITINA, UNAFIKI.

Everyday is Saturday................................:cool:
Yaani miezi 10 nchi ibadilike?
 
Acha ujinga wewe Zanzibar Nyie ni wavivu Sana Tena Sana ,umwinyi mwingi sana.

Nilikuwa hapo mwaka Jana December, maduka mtu anafungua saa tatu asubuhi huo si uchuro!

Hiyo Zanzibar kwa uchapaji kazi huwezi kuilinganisha hata na Mwanza.

Halafu wazanzibar mna roho mbaya. Hamtupendi watu wa huku bara, ukiwa na kiduka mtu wa bara mramnyooshea vidole Hadi akome. Ila Nyie mmejazana bara Hadi kigoma ndani ndani mnazaliana Kama nguruwe.
Mimba amekupatia Mzenji mmoja umeamua kuwanyea wote , sio poa kabisa
mimi nakushauri utulie.. ukishusha tu eingine utarudi katka hali yako ya kawaida macheche kama kawa.
 
Samia yuko vizuri labda wewe akili yako ni ngumu ku interpret economic strategies. Hakuna sera ya uchumi inayokupa majibu overnight
Mlisema hivyo hivyo kipindi cha mwendazake..punguzeni mahaba au nyie sio watanzania hamna ndugu mijini na vijijini.

#MaendeleoHayanaChama
 
Mnachekesha sana...nilifika Zenji baada tu ya uchaguzi na nikasikiza anavyozungumzwa,nimerudi miezi miwili nyuma nimesikia tena anavyotamkwa jipangeni upya machogo!
Mwisho wasiku mtakuja chimwaga tuwapatie rais..kupe nyinyi.

#MaendeleoHayanaChama
 
Majengo mengi ya pale yalijengwa na Wapemba kwa mkataba kwamba baada ya miaka kumi wakabidhiwe wenyewe na ndivyo ilivyofanyika. Bakhresa ambaye amejenga viwanda toka Tanzania mpaka nchi za jirani ni Mzanzibari ambaye amewaajiri maelfu ya Watanzania anawezaje kuwa mvivu?

Wakati mwingine tunapaswa kutumia alili ya kuzaliwa.
Ila ukiwa sio mvaa kobazi hupati kazi..sijui kwa nini?

#MaendeleoHayanaChama
 
Back
Top Bottom