Mpaka sasa Zanzibar hawajui Hussein Mwinyi anawapeleka wapi

we kima kweli.. hebu rusha picha hapa ya hiyo bandari ya mpiga duri... Mwinyi sasa hivi anachoweza ni kuhutubia misikitini tu ndio maana anaitwa Shehe Nyundo
Tunatofautiana Schools of Thought. ..siwezi kukuita kima bali ndugu yangu. Ndugu yangu naomba ujue tu Dk. Mwinyi ni kiongozi makini na mwenye vision kubwa na Zanzibar.
 
Huyu bwana aliupata Urais kwa mgongo wa Magufuli na wala hakuwa chaguo la Wazanzibar. Alikuja na mikakati mingi ikiwemo ule maarufu wa kukuza Uchumi wa Bluu.

Ila baada ya kifo cha JPM kama amevurugwa hakuna analofanya. Tokea aingie madarakani hadi sasa hajajenga hata kilomita moja ya barabara wala kufanya chochote cha maendeleo.

Hawaamini kabisa wateuzi wake na amekuwa mtu wa kutoa maagizo tu bila ya kusikiliza ushauri.

Sasa hivi ana kazi ya kupita misikitini tu na kuhubiri mambo ambayo hata yeye mwenyewe hayatekelezi.

Wazee wa CCM wameapa kwamba atakuwa Rais wa miaka mitano kama JPM na watamuweka kando kwa njia yeyote.
KWANI UJUI KUWA AKILI YA CCM ILIKUWA MAGUFULI sasa hivi sisiemu hakuna akili yamebaki majitu MAZOMBI TU
 
Kwa mafisadi, wenye vyeti feki, wavivu ndio; alikuwa janga!
Hakuwa na uwezo hata kiduchu wa kuwa kiongozi,kelele nyingi hakuna kitu,biashara,uchumi vilikufa,korosho,kunde,choroko nk alivuruga solo,alidai hakopi kakopa zaidi ya dola 8b
 
Kwa mafisadi, wenye vyeti feki, wavivu ndio; alikuwa janga!
Na hawa watu hawajui wao ndiyo sababu ya shida zooote hizi tulizonazo kama taifa kwakua wamekuwa vikwazo kwa maendeleo yetu kwa u feki wao, uwizi etc

Unfortunately ndiyo ambao walikuwa kwenye maofisi ya umma, wana pesa za bundle kutupigia kelele humu...Adhabu yao ni kubwa kwakua wengi wamekufa kwaajili yao kwakukosa dawa tu za malaria, akjna mama kulala chini, watoto kukosa madarasa, elimu kushuka etc...Leo wanataka kutuaminisha anayewaondoa wao ni shetani wao ni malaika! Daah malaika wa nuru jina lake lingine ni mashetani...wana wa uovu watu wasio wema, unaona hata mioyo yao imejaa ghadhabu na uchungu mwingi hadi kugombana na maiti ambayo hata hawajui ipo wapi!

Na mimi napasha joto subiri Mungu aseme ndiyo watajua hawajui....Na mimi nikipata kibali cha Mungu hakuna atakayenitisha siyo mbinguni wala duniani...Napiga goti kuomba usiku na mchana!
 
Amen!!!
 
Huyu bwana aliupata Urais kwa mgongo wa Magufuli na wala hakuwa chaguo la Wazanzibar. Alikuja na mikakati mingi ikiwemo ule maarufu wa kukuza Uchumi wa Bluu.

Ila baada ya kifo cha JPM kama amevurugwa hakuna analofanya. Tokea aingie madarakani hadi sasa hajajenga hata kilomita moja ya barabara wala kufanya chochote cha maendeleo.

Hawaamini kabisa wateuzi wake na amekuwa mtu wa kutoa maagizo tu bila ya kusikiliza ushauri.

Sasa hivi ana kazi ya kupita misikitini tu na kuhubiri mambo ambayo hata yeye mwenyewe hayatekelezi.

Wazee wa CCM wameapa kwamba atakuwa Rais wa miaka mitano kama JPM na watamuweka kando kwa njia yeyote.
Mwamba anazidi kuiboresha Zanzibar.......
DSC3648-scaled.jpg
 
Na uyo nyundo kayafanya lini .. usihangaike na mapicha picha mzee nakwmbia tena ilo kagara hana analoweza zaidi ya umwinyi kama jina lake.
Una chuki naye labda.....sina haki ya kuuhoji moyo wako.....

Mh.Mwinyi hana hata miaka 2 mamlakani.....

Siempre JMT
 
Kawa MB miaka kumi amefanya nini ? kama ubunge tu ameshindwa ata kuchimba kisima ataweza kujenga nchi, chuki nae sina ila ni garasa hatufai.
 
Hospitali pia umempendelea mkuu maji tu yamemshida bora babu shein mara alfu laki kuliko hilo garasa la kizanzibara.
Ni kweli huyu mzaramo anazingua maji ndio imekuwa tatizo kubwa tokea aingie madarakani..kaja na mkosi
 
22 Reactions
Reply
Back
Top Bottom