Nimeshawithdraw hiyo statement. Nakushauri ukubali matokeo bro..
Crazy you.!!
Sasa Mimi nikikaa na mwanaume kama MC Pilipili familia imeisha, maana tutashindia kulia kwenye kila jambo.!Jmn jmn, mila zetu haturuhusiwi kupigia mke magoti, ni dalili mbaya maishani.
Huoni mc Pilipili analia kila uchao?
Sent using Jamii Forums mobile app
Oohhhooohh!!!Pole, kuachwa kunauma sana, nawe tafta mwingine umdanganye unampenda alafu umuache kulipiza kisasi,
Nimecheka sana hivyo " vipochi" vimeliwa double double.
Hiv mnaanzaje kuaminiana kijinga jinga namna hiyoo.When it comes to funds aisee kwann umekua naive kiasi hicho..Bora uingizwe mjini na kijana mwenzio angalau unaweza jioa sababu kuwa kakuzid ujanja.
Sasa huyo mzee kukuzid umri tu ilikua sababu yosha ya kucheza nae kwa step.
Halaf ww ndio ilibid umpige pesa sio yy akuingize mkenge wewe.
Ahahahahahahahahahah
Tatizo ni kwamba ye kadhamiria kulipiza kisasi na anaona ndo suluhisho kwake ili amuumize jamaaInategemea kisasi anachotaka kulipa asije akawa ndo kajikaanga kabisa
Ila wanaume tunatabu sana.Pole, kuachwa kunauma sana, nawe tafta mwingine umdanganye unampenda alafu umuache kulipiza kisasi,
Hadi jicho kaliwa ?Ushaliwa kila sehemu tulia jifunze kwa makosa uliyofanya mwanzo, mwanaume sio wa kushindana naye, yaweza kuwa pesa ulimpa akaenda kumpa mwenzi wake/mke wake wafanye mambo, hakukuwa na mapenzi apo IMEISHA IYO
Easy said than doneView attachment 1288506
Achana nae.. He is not worth any more of your time
Hajaweka wazi.....na atakuwa kaliwa maana wanatafuta ndoa kwa nguvu zoteHadi jicho kaliwa ?