Mangungo II
JF-Expert Member
- Jul 6, 2012
- 18,174
- 26,912
Jamani
Kweli prngine nilikosea katika kauli lkn kuhusu kumwambia yaani toka mwezi wa sita bado unaomboleza tuu sikua nimemwambia direct, nilikua najiwazia mwenywe kichwani .I,agreed with you.... Imagine Mtaka hela alimuambia jamaa ina maana una omboleza miezi 6....bila ya kujua huyo mtu wake kama yupo sawa ki ppsychology baada ya kufiwa na mama na babu yake au la....
Kuna watu huwa wanafikia hata hatua ya kutaka kujiua baada ya kuwapoteza wazazi wao 。。。。huwa inategemea na malezi yaliyo wakuza na jinsi walivyo kuwa karibu na hao wazazi....so Mtaka hela alipaswa kutumia busara sana katika maneno Yake walau aweze kumtejesha mtu wake katika common sense
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimekuelewa mkuu,Mkuu,
You have explained enough and you have hit the nail on its head.
But a good lesson we can give to mtakahela is; You can slip your leg and control your body balance easily to avoid falling down, but you can slip your tongue never will you remember the words so mdomo wake kama ulivyomweleza.
Pesa ya mwanamke si kama yetu ya mwanamke ina miba!
Asalam aleikhoum.
Kuoana ni nini wewe hujaona watu wa betray watu waliowaoa kwa miaka 10? Mapenzi ni kitu hakina formula hivyo usitegemee kuwa hivi itakuwa hivi siku zote ni kumwomba mungu iwe salamav tuTukiwaambia msiwafungulie mapochi yenu kabla hamjaoana mnatuona wajinga.
Kiranga komo!
Waaleykum salam chief.....Asante kwa kujazia nyama vyema...Mkuu,
You have explained enough and you have hit the nail on its head.
But a good lesson we can give to mtakahela is; You can slip your leg and control your body balance easily to avoid falling down, but you can slip your tongue never will you remember the words so mdomo wake kama ulivyomweleza.
Pesa ya mwanamke si kama yetu ya mwanamke ina miba!
Asalam aleikhoum.
Jizazi![]()
eti peleka drama somewhere else..!
they say, don't mess up with a woman who already knows her worthiness!!







😂 😂 😂Jizazi![]()
Rekebisha hapo mkuu ni wife material,
Halafu sijaolewa bado usije nipeperushia ndege bure!!![]()
![]()
Nikijibu tena ndo nitazidi kuwapeperusha.!
Ushauri murua kabisa.. Kudos kwako mkuu..Wanawake mahala pekee tunapokosea ni kwenye maneno, huwa tuna maneno sana hasa pale tunapowasaidia wenzi wetu wanapokwama,
I'm not supporting him kwamba alikuwa sahihi kutokujishughulisha, Ila nina wasiwasi sana na kauli zako ulizotumia wakati unamkumbusha majukumu yake!
Inawezekana pia kakupa mtihani mdogo wa kupima kiwango chako cha uvumilivu and you came out with your true colours!
Mwanaume hata umsaidie kiasi gani cha pesa, kitakachompa thamani ni namna gani utajali utu wake na heshima unayompatia na hii ni tofauti kabisa na sisi wanawake!
Shukrani sana Mark..!!
Nikijibu tena ndo nitazidi kuwapeperusha.!
Hiyo ni siri ya kambi.!
Mama yangu mdogo alimuamini baba mdogo kwa vigezo kama vyako ila leo ameisha juta na wametengana.I loved him.Nimeaddress ishu ya age yake sababu niliamini kwamba kwa umri wake hawezi kufanya mambo ya kitoto
Kuhusu familia , watoto , mke na mengineyo nayafaham vzr